kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Utaelewa tu!Kama utulie ulete kisa kamili ili tupate kuelewa unazungumzia nini.
Ameachiwa kwa sababu ya ule ulemavu ndio una mpa kiburi cha kudhalilisha wengine!Siku moja aje kujibu hivyo hivyo kwa askari wa JW. Atawasimulia.
Anadhalilisha watu kwa dharau sana!
Siku ukikua utajia kuwa sheria zimewekwa kwa ajili ya makabwela tuHuyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa
Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!
Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Aje awafanyie hivyo wavaa vitenge ( baka baka).Ameachiwa kwa sababu ya ule ulemavu ndio una mpa kiburi cha kudhalilisha wengine!
Taarifa haijakamilika
Taarifa haijakamilika
Kila mtu humu anajua alichoongea Manara?Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa
Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!
Haji Manara ni nani katika nchi hii!
Jiunge hapo!Kila mtu humu anajua alichoongea Manara?
Hatari sana hii!Bahati Mbaya tunawapa watu umaarufu pasipo stahiki umaarufu au kutowaambia mipaka ya umaarufu wao.
Kuna mahala watu hawa wanajiona wana mamlaka ya juu kuliko kila kitu kwasababu tu wanaweza kuongea na wakubwa fulani fulani.