Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Sahihi, rule of law
 
Nani asiyejua haji anatumia hali yake kama shield, wallah haji ajitathmini sana, wengine tungekua mbali sana kujibu tuhuma nzito, sio kwa kauli hiyo, mpumbavu sana haji
 
Muro ni mtu na nusu 😂🫡
 
''Nenda kalindw wafungwa wenzio''..alisikika Haji Manara akimjebehi askari magereza akiyemuomba awapishe njia wapite,wakati akiongea nawaandishi wa habari baada ya mchezo wa Yanga dhidi ya Tanzania prison kumakizika

Sasa uongozi wa Yanga umedai haukumtuma Haji awatukane maafande hao na kusikitishwana matusi ya Haji.
Uingozi umeomba radhi jwa akari akiyetukanwanajeshi lamagerezakwa ujumla,ila askari wakisikija wakisema hawajamalizana nae watamtafuta mtaani wamfundishe adabu
 
Mtu mwenyewe keshajifia huyo hakuna haja ya kuhangaika nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…