Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi bwege, aliyekufungulia uzi ni nani? [emoji2][emoji2][emoji2]Kama mfumo unaruhusu we ni nani??tafuta connection,bwege mtozeni
NI MUISLAMU NUSU MZANZIBAR TULIA KAMA ULIVYO ASIJE KUKURIPOTI KWA ABDUL...Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa
Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!
Haji Manara ni nani katika nchi hii!?
View attachment 3183108
Eminem anazingua kishenz😂
ww ni mpuuz , unataka tumwabudu mtu anakula kwa kodi zetu ?Siku moja aje kujibu hivyo hivyo kwa askari wa JW. Atawasimulia.
Anadhalilisha watu kwa dharau sana!
ndo mpuuz , watu wanatekwa hilo jeshi lako limefanya nn ? kaona kuna waandishi wa habari kwann asiombe kwa ustaarabu mpk atake kumdharirisha Haji ? ukizingatia huyo askari hapo sio sehem ya utumishi wakeHuyu hana akili
Si alifungiwaga kujihusisha na soka kwa mambo kama haya
watanzania wengi ni wajinga nadhan kwa afrika tunaeza shika nafas ya kwanza kwa ujingq , wengi humu wanamkosoa Manara bila hata kujua mamlaka ya askari magereza inaishia wapi pili hata angekuwa askari wa kawaida hakupaswa kuwa mkali vile maana Haji alisema napisha usijali ila askari akataka kuonesha ubabe ndipo Haji akamlipukiaKwa 90% Haji Manara yuko sahihi kabisa. Inaonekana anajua sheria na akaamua kusimama katika sheria.
Askari Magereza hana mamlaka yoyote ya kumkata au kumuamuru raia, mamlaka yake yapo gerezani kwa wafungwa na mahabusu.
Tz tunahitaji wakina Haji Manara wengine kama 100 hivi.
ww ni kundi la wale wajinga kaangalie video kwa utulivu bila mawenge ya ushabiki , yule askar anapswa kuadhibiwa , hv ingekuwa ni press ya kada wa ccmu angefanya vile ? yule askari aliambiwa napisha ila bado akatumia lugha ya kudharirisha ndipp Haji akamuoneshea kuwa anaijua Sheria kuliko ww mbumbumbu wa ccmu ambae hata ushikwe tako unabakia unachekelea tu kama mwehuKumbe na wewe ni kizibo tu, hujui mengi kuhusu mamlaka ya askari magereza
ww ni mataklo , Haji alimjibu vzr sn kuwa tunapisha , ila askari akafanya kama anamuamlisha kwa lzm afanye upesi kupisha , hv huu ni ustaraab gan huyo Askari alionesha , mtu anahojiwa live ww unaenda vuruga ? hv angekuwa kada wa ccmu huyo askari angesogea hapo ? unatetea us3ng kyuma wwHuwa sipendi kujibizana na teenager, kipi alichokisema hapo huyo askari zaidi ya kumwambia atoe gari yake njiani.
Wee nae wale wale, hamnazoww
ndo mpuuz , watu wanatekwa hilo jeshi lako limefanya nn ? kaona kuna waandishi wa habari kwann asiombe kwa ustaarabu mpk atake kumdharirisha Haji ? ukizingatia huyo askari hapo sio sehem ya utumishi wake
angekuw ni kada ya ccmu angeenda kufanya vile ? yule askari kaleta hisia za michezo , haya ni madhara ya kuajiri walioferi form 4 , hajui kutumia lugha za staa , kaambiwa tunapisha ila bado akaendelea kupiga kelele , huyo askari mm ningempiga kabisa **** huyoKuna vitu vinatia shaka kuhusu uelewa wetu.Tukiendelea hivi,kuna watu watabisha kwamba hawana mamlaka kisheria kukamata wahalifu.Watatuambia watawasubiri police.
mtu kaambiwa tunapisha ila hapa mnamtetea eti kaonewa , ushoga ndo unaanza hv hv , unaanza na uchawa kisha wanaanza kukupakua kalioWee nae wale wale, hamnazo
Keyboard warrior
Lia machozi kabisa mkuu
we ni mataklo , huyo polis basher wako aliambiwa TUNAPISHA ila bado akaendelea kutoa shombo , mjifunze kubalance ushabiki , ushabiki unawafanya mnakuwa wehu , mnatetea kila kitu siku hz provided ni against or alongside your teamHuyo Utopolo abanwe makende kwanza hata siku 2 then aachiwe! , watu wakimjalia huwa anatafuta masifa ya kipuuzi sana......" Wenye akili kule wawili tu".
huyo askari alijibiwa vzr kuwa TUNAPISHA ila akaleta maneno ya shombo , hii kauli ya Manara mnazuga hamkuiona , waafrika mnaroho mbaya sana Mtu kuwa Yanga au Simba isiwe sababu ya kumnyima haki yakeInferiority complex inamsumbua !
Anadhani anadharauliwa kumbe ni hisia zake tu !
Lia kabisamtu kaambiwa tunapisha ila hapa mnamtetea eti kaonewa , ushoga ndo unaanza hv hv , unaanza na uchawa kisha wanaanza kukupakua kalio
Karia hataki upuuzi!Anahisi anaweza kumvaa yeyote ila karia alimkomesha!
Siku ajichanganye apelekwe magereza ata siku mbili.. akitoka atasalimia hadi watoto wa shule ya msingiHuyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa
Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!
Haji Manara ni nani katika nchi hii!?
View attachment 3183108