Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Kwanini itakuwa ni "bye bye" yake ?!!

Kwanini baadhi ya watanzania tuna "mentality" ya kupenda KUONA MAUMIVU na MATESO kwa wengine ?!!

Iwe maumivu ya KIHISIA...
Iwe maumivu ya KIUCHUMI...

Mentalities hizi hazina tofauti na "maneno ya ukakasi" yaliyotolewa katika hilo tukio....na ndio maana kila mtu mwenye NGUVU anataka kuonea walio DHAIFU.....na akiwa na NGUVU kukuzidi basi ujue wewe mpenda KUTUMIA MAGUVU iko siku UTADHALILIKA/KUINGIA UNYONGE ukikutana na MWENYE NGUVU mwingine aliyekuzidi NGUVU.....

#Piga vita tabia hizi mbovu!
#Tujifunze kuipenda Tanzania kwa kuheshimia sisi raia wake!
Jidanganye na aendelee kudharau watu. Hatumuombei mabaya ila siku akiyakayaga.🥲🥲🥲
 
Mkuu acha kabisa si wale KMGM? hahahahaaa nimecheka kwa uchungu kidogo chukua hii,

Kipindi kile Amboni Tanga kulitokea visa vya ugaidi si unakumbuka? Basi bwana baadhi ya washukiwa walipelekwa pale gereza kuu la Tanga liitwalo Maweni,

Sasa bwana kulikua na vinjia wachunga ng'ombe au watu wa vijiji vya mbele wanapita ila vinaelekea karibu na gereza kisha vinapitiliza vijijini ,

Basi mjomba wangu mtata mtata hakujua kuwa vile vinjia vilipigwa marufuku kupita na doria ilishikwa na wale KMGM wale buubaaaa Anko anamaliza kichaka tu alistukia kofi la uso pwaaaaaah , anakwambia nguvu ya lile kofi alitoa kubwa pale pale, ile kutahamaki anakutana na majamaa marefu meusi tiii wawili tu ndio mahojiano kuanza na vipigo vya chombeza,

Basi tangu hapo Anko anadai wale KMGM sio binadamu wa kawaida ,

Wakimkamata Manara wapige fimbo nyingi sana za mdomo ule
Naam ndiyo hao mkuu..
 
Jana wakati wa mchezo Kati ya Yanga na Prisons, Haji Manara alifanya kitendo kisicho cha kingwana na udhalilishaji kwa jeshi la Magereza kwa kuwaita askari ni wafungwa.

Manara ambae alikuwa anahojiwa na waandishi wa habari huku akiwa amepark gari lake njiani na kuziba njia hiyo magari mengine yasipite, alipotakiwa kulitoa gari lake ili gari la Magereza lipite alimtukana askari huyo na kumuita ni mfungwa hivyo askari wote wa magereza ni wafungwa.

Kitendo hiki kilikuwa cha kidhalilishaji haswa kwani wote tunatambua kuwa kuna utofauti mkubwa Kati ya askari magereza na wafungwa, askari ni muajiriwa wa serikali ambae analinda na kurekebisha wafungwa wakati mfungwa ni mtu aliyepatikana na hatia na kuhukumiwa adhabu na mahakama.

Jeshi la Magereza linatakiwa kumchukulia hatua Haji ili iwe fundisho kwa watu wengine, kama jeshi litaruhusu udhalilishaji wa namna hii na wakakaa kimya basi ipo siku tutashuhudia udhalilishaji zaidi ukifanywa kwa askari.

Mbona hatuoni askari wa jeshi la polisi, Jwtz wakidhalilishwa Kwanini iwe kwa magereza.

Huyu mtu anapaswa kukamatwa ikiwezekana apelekwe gerezani akaone utofauti wa askari magereza na mfungwa.

View: https://youtu.be/F93mZI980ZU?si=sShG-Fz-jyypfYKV

Mkuu na wewe askari magereza nini?
 
Hii sasa ndo imemaliza utata ote hakuna kosa alilofanya haji hapo
 
Askar huhitajika wAwe wawili ili achukue hatua.
 
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.

Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa

Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!

Haji Manara ni nani katika nchi hii!?

View attachment 3183108
Shida ya kuandika huku unatafuna mahindi ya kukaanga huku umekalia spoko ya baiskeli.
 
HAJI MANARA yupo sahihi kama aliamrishwa badala ya kuombwa kiustaarabu asogeze gari.

Kuamrishwa si sahihi kwasababu pale si Gerezani na Afisa Magereza wana mamlaka magerezani sio Uraiani
 
Huo ndio ushamba, upumbavu na ujinga wa wengi, kwani ni Haji peke yake ndiye anayeongea na JK? Huyu ana matatizo ya akili, ile sura peke yake inaongea
Kama mfumo unaruhusu we ni nani??tafuta connection.
 
Back
Top Bottom