Haji Manara: Nimeshamuonya DC wa Arumeru Jerry Muro akiendelea Kunishambulia natoa Siri yake Kubwa mno na Mbaya sana

Mmmmh utakuwa wa mjini kitambo hadi hotel watu wanaijua anayo fikiaga video zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa. Halafu kuna miaka fulani kuna makocha fulani wengine ni marehemu walisadikika kuwachokonoa wachezaji wa mbumbumbu fc
Hii stori ya mbumbumbu kuwa na mchezaji anayechokonolewa niliwahi isikia kitambo! Miaka ileeee ........... Ndio mana mawazo yao yapo huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muro mpumbavu wee mtu DC halafu unaanza kujibizana na raia kisa yanga angalia anaumbuka kweupe hana akili muro kama vipi ajiuzulu DC aje Yanga aache ushamba

Hajifunzi kwa makonda ni mshauri wa simba lakini haropoki hata kidogo
 

Katavi na Dar kuna tofauti kubwa tu ..................ndio maana wahenga wanasema kuku mgeni hakosi kamba mguuni
 
Hii stori ya mbumbumbu kuwa na mchezaji anayechokonolewa niliwahi isikia kitambo! Miaka ileeee ........... Ndio mana mawazo yao yapo huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
na ile ya Utopolo FC kuwa na Kocha anachokonolewa tumeisikia kipindi fulani..........hapa karibuni .......
 
La kwa Yusuph manji ni Dogo ingawa kuna Aibu moja ilimtokea pindi Yusuph manji katoka jela akajidai kwenda kumpa pole akamtoa nduki kwa matusi na maneno makali ndipo Jerry muro akaenda kumshitakia kwa Daud Bashite wakaandaa njia zingine za kumrejesha Jela tena aliposikia akatoroka na kupandia Ndege Malawi akakimbilia marekani, yapo mengi lakini Haji manara hujivunia zaidi la Tukio la Tundu lisu kule Dodoma,
 
Siri nyingi anazojivunia Haji manara siyo za yanga kwani waliompa siri akina cyprian Musiba na Le mutuz siyo viongozi wa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…