Albino_is some one with AlbinismUkiita Albino wanaona ni sawa kisa umetumia jina la kizungu japo maana ni ile ile tu.
π π π π
Jina zuri au baya sometimes ni suala la mirindimo yake kwenye ubongo mfano 'ANATATIZO KWENYE UKE' sasa sikka hii 'ANA TATIZO KWENYE KUM**' π€£π€£ Insane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu sijui kwann yaan.
Ndio umeandika nini?Albino_is some one with Albinism
Zeruzeru_is some one with what?? 'Zeruzerunism' or what
Albino si sawa na Zeruzeru, muda sina tu
Na manara ni zeru zeru. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguani zaidi ni wale wanaompa ajenda za kuongea.Kama kuna watu punguani hapa duniani hili jamaa ni namba 1
Huyu ashukuru Mungu alikuwa ZeruzeruHivi huyo anajikutaga nani? Brand brand daily....kina Mo wana brand zinajulikana mpk Ulaya huko..
NB: ni kweli waandishi nao wana maswali ya kiwaki..
Mkuu lugha yetu ya Kiswahili ni tajiri sana kwenye msamiati wa maneno yake; japokuwa maana ya kitu unacho kizungumzia ni kilekile, lakini maneno utakayo yatumia ni tofauti kulingana uzito ama ustaha ya jambo lenyewe. Mfano; huwezi kumwambia baba/mkweo katika mazungumzo kwamba "mke wangu ana mimba bali utatumia neno mjamzito" AU binadamu "amekifariki"na sio "amekufa" na akifariki hawi "mzoga" bali ni "maiti". Kwa hiyo Wakuu tutumie maneno yenye staha kwa mujibu wa lugha yetu. Kwa si busara kumwita mtu kwa namna ya kuudhi.Mkuu,kwahiyo ukiita mlemavu wa ngozi ndio inakua kajiumba yeye hivyo?