Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

Ukiita Albino wanaona ni sawa kisa umetumia jina la kizungu japo maana ni ile ile tu.

😀 😀 😀 😀
Albino_is some one with Albinism

Zeruzeru_is some one with what?? 'Zeruzerunism' or what

Albino si sawa na Zeruzeru, muda sina tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu sijui kwann yaan.
Jina zuri au baya sometimes ni suala la mirindimo yake kwenye ubongo mfano 'ANATATIZO KWENYE UKE' sasa sikka hii 'ANA TATIZO KWENYE KUM**' 🤣🤣 Insane
 
Kwa nini makolo yamechachamaa namna hii!
 
Mkuu,kwahiyo ukiita mlemavu wa ngozi ndio inakua kajiumba yeye hivyo?
Mkuu lugha yetu ya Kiswahili ni tajiri sana kwenye msamiati wa maneno yake; japokuwa maana ya kitu unacho kizungumzia ni kilekile, lakini maneno utakayo yatumia ni tofauti kulingana uzito ama ustaha ya jambo lenyewe. Mfano; huwezi kumwambia baba/mkweo katika mazungumzo kwamba "mke wangu ana mimba bali utatumia neno mjamzito" AU binadamu "amekifariki"na sio "amekufa" na akifariki hawi "mzoga" bali ni "maiti". Kwa hiyo Wakuu tutumie maneno yenye staha kwa mujibu wa lugha yetu. Kwa si busara kumwita mtu kwa namna ya kuudhi.
 
Back
Top Bottom