Kahoji kwa wanahabar jutihih kwa nn miaka 3 sasa Hawajafanya uchaguz vp mbona kwa hilo awasifuati hz kanuni. Je hao waandishi hawavion hvyo. MAZWAZWA HAOKipindi kile Mwakalebela anafungiwa aliwatukana Yanga,klabu inayo endeshwa kiholela haijui kanuni leo ana ongea vyingine na hii idea yake ya swala hili kulipeleka bungeni ni la kipuuzi tu kwa mtu anayejua mpira na kanuni za FiFA hawezi akaongea upuuzi huu.
Leo tena ana watukana Yanga kwa kusimamia kanuni,ila sio mbaya mwacheni atetee ugali wake.
Huwezi kiwazuia wachambuzi kuongea hilo ndio kazi yao na hizi imetokea kanuni imevunjwa kuongea ni kazi yao ndio ukweli wenyewe hata Manara anayajua.Kahoji kwa wanahabar jutihih kwa nn miaka 3 sasa Hawajafanya uchaguz vp mbona kwa hilo awasifuati hz kanuni. Je hao waandishi hawavion hvyo. MAZWAZWA HAO
Daaah! Huyu very arrogantKipindi kile Mwakalebela anafungiwa aliwatukana Yanga,klabu inayo endeshwa kiholela haijui kanuni leo ana ongea vyingine na hii idea yake ya swala hili kulipeleka bungeni ni la kipuuzi tu kwa mtu anayejua mpira na kanuni za FiFA hawezi akaongea upuuzi huu.
Leo tena ana watukana Yanga kwa kusimamia kanuni,ila sio mbaya mwacheni atetee ugali wake.
Kasema UTOPOLO mlikimbia pambano halafu waandishi wanashabikia ukunguru wa Utopolo....sasa hapo kosa lipo wapi?
Mkuu nashindwa Kupandisha Hyo voice note Hapa, Ebu nisaidie nifanyejeBila voice note haya yatabaki kua ni majungu tu kama majungu mengine
Amesema waandishi wa habari au ni wachambuzi? Mbona unapotosha makusudi?Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.
Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Kwani kasema uongo? Meck mexime alipo tamka yale maneno yake mlipongeza, ila huyu kwakua ni Mtu wa Simba Sc anaonekana kuwa kavika mipaka sio? Hebu acheni unafiki wenu wa kipumbavu, hasira za kutokufanya viziru team yenu mnataka mzihamishie kwa wengine.Huyu Manara anazan kuwa zeruzeru ndo kuwa juu ya sheria..
Ameshafanya mengi sana ya kipuuzi watu wanamuangalia tu..
Kiufupi amevuka mipaka AWAJIBISHWE na sheria ichukue mkondo wake maana anavuka mipaka.
Kwa alipofikia,hata wao wanamuhitaji sana kwenye vipindi vyao,Hebu fikiria unafanya mahojiano na mtu kama Bumbuli[emoji23].Hao hao anaowaita takatakata ndio waliompa umaarufu aliyonayo Leo ngojea wakupige ban kama alivyo wahi kufanyiwa makonda
Hiyo sauti siyo ya Manara! Ni mhunji ameigà sauti hiyo!Iyo voice note iko wapi
Ukubwa wa Diamond usiufananishe na haji manara haji manara anabebwa na brand ya Simba na hivyo vyombo vya habari bila ya hivi viwili si chochoteKwa alipofikia,hata wao wanamuhitaji sana kwenye vipindi vyao,Hebu fikiria unafanya mahojiano na mtu kama Bumbuli[emoji23].
Kumpigia ban Manara ukitegemea kuwa atapotea, ni sawa na walivyompiga ban Almasi ila bado akachanja mbuga. Manara ana watu wengi sana nyuma yake(mashabiki),swala la ban halitamuathiri kwa kiwango unachofikiria.