Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Na ndio maana nakwambia itakuwa ngumu saana kumpoteza, kutoka na ukubwa wa brand ya simba na Idadi ya mashabiki walio nyuma yake. Njia pekee ya yeye kushuka, ni kuachana na wadhifa alionao pale Simba, na sio kwa kugomewa na media uchwara hizi.Ukubwa wa Diamond usiufananishe na haji manara haji manara anabebwa na brand ya Simba na hivyo vyombo vya habari bila ya hivi viwili si chochote
Hizi sio Zama zile za magezti na redio, wakiziba huku, habari zitaibukia kule.kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).
Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
ukiacha kuongelea simba kipindi chako cha michezo kinakufa .kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).
Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
Jidandanye, Diamond ana media yake manara ana nini?Kwa alipofikia,hata wao wanamuhitaji sana kwenye vipindi vyao,Hebu fikiria unafanya mahojiano na mtu kama Bumbuli[emoji23].
Kumpigia ban Manara ukitegemea kuwa atapotea, ni sawa na walivyompiga ban Almasi ila bado akachanja mbuga. Manara ana watu wengi sana nyuma yake(mashabiki),swala la ban halitamuathiri kwa kiwango unachofikiria.
Hahaa Leo wamekosa sheria na kifungu cha kurejeaSheria gani
Iko hivi,media yoyote itakayoacha luzungumzia Simba Sc, basi kipindi chake cha michezo kitakosa mvuto. Yani waache kuzungumzia Simba Sc inayomake headlines wakazungumzie timu gani Sasa[emoji28].Jidandanye, Diamond ana media yake manara ana nini?
Nampongeza na nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya alivyowaita 'Takataka' kwa sababu zangu zifuatazo:Wakuu Kuna Voice Note inatembea Mitandaoni Ambayo Ni Msemaji Wa Simba SC akiwatukana Waandishi Wa Habari Za Michezo Kwamba Ni Wanafiki Na Takataka Tu Na Hakuna Wa Kumfanyia Lolote, Kimsingi Kawatukana Na Kuwatolea Povu Sana Hawa Waandishi Wa Habari Wenzake.
Je Tff Watawachukulia Hatua Gani Huyu Manara
Umeongea Ujinga SanaNampongeza na nakubaliana nae tena kwa 100% juu ya alivyowaita 'Takataka' kwa sababu zangu zifuatazo:
1. Wengi wao wako katika 'payrol' ya Yanga
2. Wengi wao ni Wanafiki sana
3. Wengi wao wana Chuki na Simba
4. Wengi wao wana Wivu na Mafanikio ya Simba
5. Wengi wao wana Upendeleo katika Uchambuzi
6. Wengi wao wanatumika Kuichafua Simba
7. Wengi wao wana Husuda binafsi na Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara na Msemaji Manara
Ni imani yangu kubwa sasa kwa kuitwa Kwao 'Takataka' baadhi ya Wachambuzi wa Mpira na Watangazaji wa Michezo nchini Tanzania mtabadilika.
Manara kawapa Dozi Mujarab sana tu.
Mnaomfuatilia huyu mna kazi.
Sasa hivi wachambuzi wengi wa michezo wanaiponda Simba kwasababu ya chuki ya Mafanikio ya ya mpira.Kwani kasema uongo? Meck mexime alipo tamka yale maneno yake mlipongeza, ila huyu kwakua ni Mtu wa Simba Sc anaonekana kuwa kavika mipaka sio? Hebu acheni unafiki wenu wa kipumbavu, hasira za kutokufanya viziru team yenu mnataka mzihamishie kwa wengine.
Hii kitu naona kaifuta chap