Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ina maana jamaa amekiuka adhabu ?..Kuna watu huwa hawasikii hadi wabanwe na damu iwatoke masikioni.
OKW BOBAN SUNZU Scars Matola
GENTAMYCINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana jamaa amekiuka adhabu ?..Kuna watu huwa hawasikii hadi wabanwe na damu iwatoke masikioni.
Kosa lake liko wapi? Yuko hapo kama MC wa kutambulisha wachezaji! Hivyo kwa mtazamo wangu naona hana kosa.Hii ni dharau kwa Shirikisho la Soka Nchini na kuharibu mpira wa miguu Tanzania.
Unaelewa neno kutojihusisha na swala LA sokaMbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.
Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Hapo anafanya shughuli ya u MC mkurugenzi! Anyway, ngoja tusubiri wanasheria watasemaje. Mimi ni bush lawyer tu.Unaelewa neno kutojihusisha na swala LA soka
Au hapo sio soka
Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.
Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Mkuu huyo ana mahaba ni shabiki mandazi yani bush lawyerUnaelewa neno kutojihusisha na swala LA soka
Au hapo sio soka
Kosa lake liko wapi? Yuko hapo kama MC wa kutambulisha wachezaji! Hivyo kwa mtazamo wangu naona hana kosa.
Angeitishia Press na kuongelea habari za klabu, hapo ungesema kweli amekiuka masharti ya adhabu yake.
Wamfungie tu maisha.ni dharau
Alafu kwa kujua kulalamika sasa.
Atasema wanambagua.
TFF tunasubiri vifungo
Time will tell. Ila Manara amecheza tu akili za hao TFF. Sasa kama haruhusiwi hata kuwa mshereheshaji kwenye matukio mbalimbali, basi wangempeleka Ukonga au segerea.yaani TFF ni mabwege hivi.[emoji16][emoji16][emoji16].
Kweli maboya.
Pigeni rungu na Hawa utopolo
Yanga sio wajinga na hio event haihusiani na ligi na wala TFF haiwahusu.
Ni sawa na kutaka kumfungia mtu kushiriki hata mambo binafsi ya kifamilia kama birthday ya watoto wake, n.k
Manara ni mkubwa kuliko Simba na tiefuefuKama hili likiachwa basi hakuna haja ya kuwepo hilo shirikisho