Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

Nasubili kuona response ya TFF ndo tutajua taasisi zetu zina nguvu au kikaragosi
 
manara ni MC?
Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.

Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
 
Ni dharau kwa shirikisho na mpira wa Tanzania
 
NI kweli anatangaza wachezaji wa REDE BYUTI BYUTI sio wa mpira.
Huko sahihi
Kosa lake liko wapi? Yuko hapo kama MC wa kutambulisha wachezaji! Hivyo kwa mtazamo wangu naona hana kosa.

Angeitishia Press na kuongelea habari za klabu, hapo ungesema kweli amekiuka masharti ya adhabu yake.
 
yaani TFF ni mabwege hivi.[emoji16][emoji16][emoji16].
Kweli maboya.
Pigeni rungu na Hawa utopolo
Time will tell. Ila Manara amecheza tu akili za hao TFF. Sasa kama haruhusiwi hata kuwa mshereheshaji kwenye matukio mbalimbali, basi wangempeleka Ukonga au segerea.
 
Upo sahihi ni event ya REDE sio mpira wa miguu.
TFF wanasimamia mpira wa miguu sio REDE
Yanga sio wajinga na hio event haihusiani na ligi na wala TFF haiwahusu.

Ni sawa na kutaka kumfungia mtu kushiriki hata mambo binafsi ya kifamilia kama birthday ya watoto wake, n.k
 
Back
Top Bottom