hahaha hap unyamaSawa tutahamia Tandale au Buza Kwa mama kibonge
Wengi wanaojenga ukuta ni wabinafsiHizo senyenge upate razor kama hizi wanazotumia kwenye SGR!
Haya maukuta ya kozi 9 au 12 tunayojizungushia hewa inakuwa nzito ndani.
Itabidi ujitengenezee mwenyewe.Sasa hapo Vitumbua utakua unanunulia wapi?
Kwa nini unakunywa maji wakati unajua utakufa?Ina maana gani! Unafanya hayo yote mwisho unakufa.
Wanasema umbea ni uchawihamna hata majirani wa kwenda kupiga nao umbea, nikikaa huk nitaumwa
Hapo unaweza kuboresha, kile kinyesi kinakuwa mbolea kwenye bustani.Mbona hakuna mabanda ya kitimoto? Utapata wapi nyama?
Unaweza ukaboresha kutokana na mazingirakako poa sana lakini huku kwetu vibaka watakulaza nje. Nyumba lazima iwe full grill madirisha mpaka milango
Iweke kwenye uhalisia
ukawekea grill kanapoteza mvuto asee katakuwa kama cage za zooUnaweza ukaboresha kutokana na mazingira
Tupe vitu natural tuone😂Iweke kwenye uhalisia
Ili isipoteze mvuto, unaweka mlinzi njeukawekea grill kanapoteza mvuto asee katakuwa kama cage za zoo
Umekunywa mbege ya wapi?Tupe vitu natural tuone😂
Hako ka-battery cage hakuna mstaafu atayejitumbukizamo kukajenga au hata kuishi humo. Kanawafaa first appointments na Gen Z baasi.Leta maoni yenu
View attachment 3688645
Itakuwa ni ya Kishumundu kama sikosei.Umekunywa mbege ya wapi?
Unanyatia-nyatia usiku wakati wa kwenda kulala huku umefungasha trela lako etii.Nimependa Kwa Mimi ambaye ni nocturnal hiyo itanifaa!!
Yaani unajenga hii baada ya kuwa na nyumba zingine, hii inakuwa ni sehemu ya kuishi 'natural'Hako ka-battery cage hakuna mstaafu atayejitumbukizamo kukajenga au hata kuishi humo. Kanawafaa first appointments na Gen Z baasi.
Fanya mchakatoNimependa Kwa Mimi ambaye ni nocturnal hiyo itanifaa!!
Majizi Yapo Hata CCMWatakuwa wanatoa wapi salio?