Haka kampango kanawafaa sana wastaafu na watu wanaojitambua

Kako poa sana. Ila kwa vipato vya chini.

Kwa wenye vipato vikubwa Bado wanatakiwa wazungukwe na watu wengi huku wakisaidiana.
Kuna baadhi ya mikoa mashamba ni bei nafuu, changamoto inakuja ni mkoa upi unahitaji kufanya jambo la namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ