Hahahhhhhh anahitaji msaada wa haraka.Njooo huku mwime tuoshe marudio acha ujinga
Huyo ni classmate wangu ugomvi wangu na yeye usiungilieHahahhhhhh anahitaji msaada wa haraka.
Ndio maana baba yako analaza wageni kwenye ward ya psychiatricNimetoka sokoni kumnunulia mahanjam ili arekebishe lunch....
Sasa nilipofika nimemkuta hana raha kabisa huyu katoto ka Gen-Z....
Nilipo muuliza kipenzi, nini mbaya...??
Akaniambia eti amepata ujauzito....
Mimi nikashangaa sana na kumuuliza, mbona sikuzote tunatumia kinga...??
Akanijibu eti.... kwani nimesema nimimba yako...??
Wakuu, hapa nimeamua nije huku kilabuno soko la zamani karibu na wanapo uza supu ya pua, sikio na matiti ya ng'ombe.
Haka ndio kale kamenisevu eti "mubaba wangu"
Naona na kaka zao sasa mmeanza kutusumbua na nyuzi zenu za hovyoWanasema "chunga mumeo wanakuja mtaani....๐
Mkuu marudio yanasomaje sahii hapo mwime.Huyo ni classmate wangu ugomvi wangu na yeye usiungilie
Ushauri wako nimeuchukua mkuu, hapa hata pombe haipiti kwenye koromeo kabisa walau nisahau hili pigo...๐ฎโ๐จMkuu pamoja na Uzee tulionao bado unaruka na vitoto vya elfu 2?
Binafsi niliacha baada ya kuona hatari ya kupandishwa kisukari na presha
Nikajisemea, cha kufia kinenani nini ๐คช