Haka katoto katakuja kuniua, nimeishiwa pawa aiseeee....

Mara mia hao mashangazi

Akikupandisha kisukari katikati ya safari, anawahi kukupa dawa

Hivyo vibinti ndiyo kwanza vitakuwa vinarekodi TikTok live ukikata moto ๐Ÿ˜…

Bora tumezeeka sasa ๐Ÿค—
Haka ndio kale juzi tulienda nako sokoni kununua mahanjam, ghafla kakaanza kumsifia na kumpa maujiko mkata nyama.... wakati mimi mtoa hela nimesahaulika kabisa...๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ