Baba Rudolph
Member
- Jul 28, 2026
- 20
- 26
hahahhahaahhaah hiyo kali kakaNimetoka sokoni kumnunulia mahanjam ili arekebishe lunch....
Sasa nilipofika nimemkuta hana raha kabisa huyu katoto ka Gen-Z....
Nilipo muuliza kipenzi, nini mbaya...??
Akaniambia eti amepata ujauzito....
Mimi nikashangaa sana na kumuuliza, mbona sikuzote tunatumia kinga...??
Akanijibu eti.... kwani nimesema nimimba yako...??
Wakuu, hapa nimeamua nije huku kilabuno soko la zamani karibu na wanapo uza supu ya pua, sikio na matiti ya ng'ombe.
Haka ndio kale kamenisevu eti "mubaba wangu"
Hapo kimbia Mkuu 😅Haka ndio kale juzi tulienda nako sokoni kununua mahanjam, ghafla kakaanza kumsifia na kumpa maujiko mkata nyama.... wakati mimi mtoa hela nimesahaulika kabisa...😮💨
Haha nipe pa kutuma nikufanyie mazuri mkuu.Ebu assist nauli nije chap mkuu
Vijana ndiyo wanasema ukae kimaster 🤗Nikweli kabisa mkuu, haka kaDelila kataninyoa pension yangu yote zaidi ya kipara cha Samsoni
Usipowekewa carbon wakati wa kwenda kupima kiwango cha dhahabu, basi utapigwa kwenye kuchoma, miwani zinakuwa chache wewe unakosa, gesi ikiwashwa utaondoa uso bila kupenda, wajumbe wanamimina pembeni mbele ya macho yako.Nasikia kwenye kuosha marudio kuna wizi mkubwa hufanywa dhidi ya mwenye marudio je ni kweli na huwa wizi unafanyikaje?
Sasa na kaka zao wameanza kutuonyesha nyege zao🙆♂️🙆♂️Hujawaona wale juzi wanatuonyesha style za nyege kwenye video au std 7 wale?
Inauma sana mkuu, wahuni sio watu kabisa...
Ndio hapa unapotoka bijampola nyoosha barabara ya kwenda mwime nipo namba 9Ndio wapi huko mkuu nije chap...😮💨
Mie hata sijui ila nipo tu nauza karanga tu hukuMkuu marudio yanasomaje sahii hapo mwime.
Mimi sijui mkuu , mie nauza karangaNasikia kwenye kuosha marudio kuna wizi mkubwa hufanywa dhidi ya mwenye marudio je ni kweli na huwa wizi unafanyikaje?
TAYARIKwani kidato cha nne wamemaliza mitihani?
Kila la kheri mkuu.Mie hata sijui ila nipo tu nauza karanga tu huku
Kama unataka dhahabu za nguvu kidogo nenda TunduruKila la kheri mkuu.
The Icebreaker yule ***** karudi kwa iD ya CHUMA SOOPEN
Nifanyeje ili nisiwe naona hizi upumbavu zako? Kila siku huwa unaandika kama vile hufikirii hivi, au kuna mtu amekuibia account yako?Nimetoka sokoni kumnunulia mahanjam ili arekebishe lunch....
Sasa nilipofika nimemkuta hana raha kabisa huyu katoto ka Gen-Z....
Nilipo muuliza kipenzi, nini mbaya...??
Akaniambia eti amepata ujauzito....
Mimi nikashangaa sana na kumuuliza, mbona sikuzote tunatumia kinga...??
Akanijibu eti.... kwani nimesema nimimba yako...??
Wakuu, hapa nimeamua nije huku kilabuno soko la zamani karibu na wanapo uza supu ya pua, sikio na matiti ya ng'ombe.
Haka ndio kale kamenisevu eti "mubaba wangu"
Hata mudi wanajua mimi ni mpumbavu mkuu....😜Nifanyeje ili nisiwe naona hizi upumbavu zako? Kila siku huwa unaandika kama vile hufikirii hivi, au kuna mtu amekuibia account yako?