Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kweli kabisaHata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaHata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.
Dawa wajitoe wote, hii ndio itakuwa njia nzuri, ila tuombe Mungu tusije kuishia kuletewa tozo mpaka za kucheka.Hili la katiba ni mwiba ukiowakwama CCM shingoni. Dunia nzima inawashangaa ni kwanini hawaitaki na Denmark ameanza kujitoa kimahusiano nao.
Ninaomba lije hili tozo la kucheka ili Watanzania waamkeDawa wajitoe wote, hii ndio itakuwa njia nzuri, ila tuombe Mungu tusije kuishia kuletewa tozo mpaka za kucheka.
kama ni Mungu alimtoa jpm akamleta bibie[emoji1][emoji1],huoni kama unamtukanisha na mweyezi!!!za uzuri wa hii theory ni kuwa haki inapochelewa Mungu anaingilia maamuzi mwenyewe na hukumu yake ni ya haki.
haki iko mbinguni,duniani ni uwanja wa fujo.Hata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.
Awamu [emoji818]Hata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.