Haki huinua Taifa na kuleta upendo

Haki huinua Taifa na kuleta upendo

Hili la katiba ni mwiba ukiowakwama CCM shingoni. Dunia nzima inawashangaa ni kwanini hawaitaki na Denmark ameanza kujitoa kimahusiano nao.
Dawa wajitoe wote, hii ndio itakuwa njia nzuri, ila tuombe Mungu tusije kuishia kuletewa tozo mpaka za kucheka.
 
kama nayeye huwakumbuka waliomfaa peke yake sioni hoja ya wewe kuwalaumu mbwamwitu wengine unaoona hawatendi haki hapa nyumbani na kwingineko.

binaadam kwa asili yake ni mbinafsi,hujiangalia yeye kwanza.
tofauti ya huyo rais wako wa mfano na hawa wengine ni kwa sababu yeye katokea upinzani ila akili na swaga ni zile zile.

muhimu tuonyeshe uungwana na mfano hata kwa kidogo tunachopewa ili kuakisi kikubwa tunachotazamia,nikiangalia namna anavyoishi mwenyekiti na wenzake wa chama chake,nakusikitikia tu mkuu,labda hujui kitu au umeamua kuwa mjinga tu.
 
za uzuri wa hii theory ni kuwa haki inapochelewa Mungu anaingilia maamuzi mwenyewe na hukumu yake ni ya haki.
kama ni Mungu alimtoa jpm akamleta bibie[emoji1][emoji1],huoni kama unamtukanisha na mweyezi!!!

maana bibie ni jpm,katika gauni la kike.
 
Hata jiwe angelijua ya kwamba hato maliza hawamu yake na yuko njiani kwenda kwa muumba, basi naye angelitenda haki.
haki iko mbinguni,duniani ni uwanja wa fujo.

kama huamini hili hujakua bado.
 
Back
Top Bottom