Haki Imetendeka, huko Moshi Manispaa, sasa kutakuwa na amani,na Tabasamu la Rais Samia litaonekana! Bado Afisa habari wa Manispaa

Haki Imetendeka, huko Moshi Manispaa, sasa kutakuwa na amani,na Tabasamu la Rais Samia litaonekana! Bado Afisa habari wa Manispaa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Haki imetendeka! Sasa wa kuhamisha Moshi Manispaa, ni Afisa habari wa Moshi Manispaa, Bwana Rama.
Huyu ndiye mtengeneza majungu,fitina na elimu yake ina shida!
Msipo mhamisha,mapema,kazi yake ni kuharibu wakurugenzi wapya wanaporipoti tu.
Huyu ni mtumishi hatari sana na amedumu kituo hicho miaka zaidi ya 20 bila kuhamishwa.
 

Attachments

  • IMG-20260930-WA0028.jpg
    IMG-20260930-WA0028.jpg
    63 KB · Views: 10
  • VID-20260728-WA0031.mp4
    15.6 MB
Back
Top Bottom