Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 879
- 1,578
Inaumiza Sana mkuuSo sad ☹️
Acha kabsa mkuu! Tunaishi Gizani tukiongozwa na Miungu watuMaisha haya
Hakuna haki kwa hali ilivyo ni kama kiendacho kwa mganga hakirudiJe Akwilina amepata haki, au bado tunaisubiri de Gunner ShesRise_1 na wengine karibuni kwenye mjadala
Nini hiki jamani😢Kuna tulitofautiana na askari maeneo ya mlandizi, akaniambia naweza kukupoteza sasa hivi na hauwezi kufanya chochote na wala hakuna anaeweza kukusaidia...nnachokumbuka nilijikuta wameshanirudisha kwenye gari huku wakisema niachane na huyo mwenzao hayuko sawa, yaishe.
Kwakweli kama kuna dhambi mojawapo inanizonga na kunitafuna, ni ile hali nnayokua nayo nikikutana na askari, shida ni kwamba kabla hata hajafungua kinywa, tayari ndani nimeshachafukwa.
Huyo jamaa nilimwambia, sikiliza, kama unanipiga, hakikisha unaniua kwa sababu vinginevyo, wakati wenzio wanahangaika na mimi niende jela au mochwari, wewe hautashuhudia hilo tukio.
Nikamwambia watu wanapitea na kuuwawa kizembezembe bila kujulikana hatima yake wewe unanitishia kunipoteza?
Kwakweli hili la huyu binti na wengine wengi waliopotea na kuuwawa kikatili na utata bila haki kutendeka, inatia doa sana serikali na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Pole sana, mkuu! Na hii kesi ya Lisu imeibua mambo mengi Sana ya ajabu.Kuna tulitofautiana na askari maeneo ya mlandizi, akaniambia naweza kukupoteza sasa hivi na hauwezi kufanya chochote na wala hakuna anaeweza kukusaidia...nnachokumbuka nilijikuta wameshanirudisha kwenye gari huku wakisema niachane na huyo mwenzao hayuko sawa, yaishe.
Kwakweli kama kuna dhambi mojawapo inanizonga na kunitafuna, ni ile hali nnayokua nayo nikikutana na askari, shida ni kwamba kabla hata hajafungua kinywa, tayari ndani nimeshachafukwa.
Huyo jamaa nilimwambia, sikiliza, kama unanipiga, hakikisha unaniua kwa sababu vinginevyo, wakati wenzio wanahangaika na mimi niende jela au mochwari, wewe hautashuhudia hilo tukio.
Nikamwambia watu wanapitea na kuuwawa kizembezembe bila kujulikana hatima yake wewe unanitishia kunipoteza?
Kwakweli hili la huyu binti na wengine wengi waliopotea na kuuwawa kikatili na utata bila haki kutendeka, inatia doa sana serikali na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Inasikitisha Sana, huenda mifumo mingi ya Nchi imo kwenye kipindi cha kutorekebishika. Nchi imeoza kila sehemuHakuna haki kwa hali ilivyo ni kama kiendacho kwa mganga hakirudi
Pole sana Mkuu !Kuna tulitofautiana na askari maeneo ya mlandizi, akaniambia naweza kukupoteza sasa hivi na hauwezi kufanya chochote na wala hakuna anaeweza kukusaidia...nnachokumbuka nilijikuta wameshanirudisha kwenye gari huku wakisema niachane na huyo mwenzao hayuko sawa, yaishe.
Kwakweli kama kuna dhambi mojawapo inanizonga na kunitafuna, ni ile hali nnayokua nayo nikikutana na askari, shida ni kwamba kabla hata hajafungua kinywa, tayari ndani nimeshachafukwa.
Huyo jamaa nilimwambia, sikiliza, kama unanipiga, hakikisha unaniua kwa sababu vinginevyo, wakati wenzio wanahangaika na mimi niende jela au mochwari, wewe hautashuhudia hilo tukio.
Nikamwambia watu wanapitea na kuuwawa kizembezembe bila kujulikana hatima yake wewe unanitishia kunipoteza?
Kwakweli hili la huyu binti na wengine wengi waliopotea na kuuwawa kikatili na utata bila haki kutendeka, inatia doa sana serikali na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Kila siku tuna sikitikaInasikitisha Sana, huenda mifumo mingi ya Nchi imo kwenye kipindi cha kutorekebishika. Nchi imeoza kila sehemu
Usinikumbushe hiki kisa, ukatonesha makovu ya tukio hiliTunapaswa kuwa na mfumo ambao familia ya marehemu inaweza kupata majibu ya kweli, ushahidi kuchunguzwa kwa uwazi, na yeyote anayethibitika kuwajibika awajibishwe kwa mujibu wa sheria.
Kifo cha Akwilina ni mfano wa nyota iliyozimika ghafla.
Akwilina hawezi kurudishwa.
Lakini ukweli unaweza kutafutwa.
Haki inaweza kutendeka.
Na kumbukumbu yake inaweza kuheshimiwa.
🕊️ RIP Akwilina.
#Akwilina #Haki #Uwajibikaji #Justice
Pole sana mkuu! Nchi iko mikononi mwa Miungu wa watu, wanafanya wanavyotaka. Hakuna wakuwawajibishaUsinikumbushe hiki kisa, ukatonesha makovu ya tukio hili
Walioshitakiwa kusabisha kifo hiki ni viongozi wa Chadema, wakapigwa faini ya TZS 350.M
Familia ya Akwiline wakapewa kidogo dogo kupoozwa, wazazi wake wakajengewa nyumba na serikali na kupewa mzigo wa maana. That was it. Tuliuliza humu Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout?. RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!.
P.
Nina Imani kila lenye mwanzo, Lina mwisho wake.Kila siku tuna sikitika
Nini kifanyike au tuendelee kusikitika
Wa kuwawajibisha wapoPole sana mkuu! Nchi iko mikononi mwa Miungu wa watu, wanafanya wanavyotaka. Hakuna wakuwawajibisha
Eeh lakini jitihadi ni muhimuNina Imani kila lenye mwanzo, Lina mwisho wako.