Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 879
- 1,578
- Thread starter
- #21
Nina Imani hii kesi ya Tundu lisu italeta mabadiliko kiasi.Wa kuwawajibisha wapo
Nina Imani hii kesi ya Tundu lisu italeta mabadiliko kiasi.Wa kuwawajibisha wapo
Daah! Hatari Sana kiongozi, kwa SASA Kila MTU anasema anavyotaka, mradi usiende kinyume na watawala.Tukio la akwelina lilikuwa ndo mwanzo wa jaribio la kusambaratisha maandamano kwa risasi za moto, badala ya maji washa na gesi za machozi. Na hii ni mojawapo ya legacy ya mwamba mwenyewe magufuli the don.
Kabsa mkuu! Pole Sana Nina Imani siku moja haki itapatikanaPole sana Mkuu !
Na Mimi hii hali ya kudhurumika na Askari Polisi ambaye alikuwa ni Afisa Usalama kutumia vyeti vyangu vya shule kumuingiza kwenye ajira ya serikalini ndugu yake, huwa inaniuma sana hii nimeshafanya jitihada zote lakini bila bila
Kila nikiwaona hawa Askari huwa najisikia vibaya na hisia za kufedheheka sana. Yaani hawa watu kwenye utumishi inabidi ufanyike usafi wa kuondoa uozo wote.
Fikiria tu hata yule qliyeandaa hati ya mashitaka ya kesi ya Lissu elimu yake, sijui alikuwa fundi viyoyozi, mara ana digirii ya sheria na masters ya Cyber crime we unategemea huyu atatoa haki ?
Huwa inaumiza sana yaani. Lakini ipo siku na wakati utakuja huu unyama utakomeshwa tu.
Sawa Ngoja tuoneNina Imani hii kesi ya Tundu lisu italeta mabadiliko kiasi.
Yupo anaitwa Mzee Karma, hanaga mswalie Mtume https://www.jamiiforums.com/threads...-duniani-unahukumiwa-kwa-matendo-yako.838459/Pole sana mkuu! Nchi iko mikononi mwa Miungu wa watu, wanafanya wanavyotaka. Hakuna wakuwawajibisha
Kwa kweli Sisi zetu ni dua tuh, shukurani mkuu!Yupo anaitwa Mzee Karma, hanaga mswalie Mtume https://www.jamiiforums.com/threads...-duniani-unahukumiwa-kwa-matendo-yako.838459/
P
Pole Sana mkuu! Huu mkasa nimeshindwa kuusahau kabsa.Kifo Cha huyo Binti wa pale Rombo kiliniumiza sana, hasa nikiangalia interview za wazazi wake, ni huzuni kwa kweli
Apumzike kwa Amani Akwilina, Nyota iliyozimika ghafla
Walijengewa lini na huo mzigo wa maana walipewa lini hao wazazi wake?? Nauliza hivi kwa sababu miezi kama nane au zaidi iliyopita Baba mzazi wa marehemu Akwelina alihojiwa na MillardAyo akiomba msaada kutokana na dhiki inayomkabili yeye na familia yake.Usinikumbushe hiki kisa, ukatonesha makovu ya tukio hili
Walioshitakiwa kusabisha kifo hiki ni viongozi wa Chadema, wakapigwa faini ya TZS 350.M
Familia ya Akwiline wakapewa kidogo dogo kupoozwa, wazazi wake wakajengewa nyumba na serikali na kupewa mzigo wa maana. That was it. Tuliuliza humu Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout?. RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!.
P.
Walijengewa lini na huo mzigo wa maana walipewa lini hao wazazi wake?? Nauliza hivi kwa sababu miezi kama nane au zaidi iliyopita Baba mzazi wa marehemu Akwelina alihojiwa na MillardAyo akiomba msaada kutokana na dhiki inayomkabili yeye na familia yake.
View: https://youtu.be/fboHRmjWb78?si=V_WhgZmUFve6N53h
Continue rest in power Akwilina.
Walijengewa lini na huo mzigo wa maana walipewa lini hao wazazi wake?? Nauliza hivi kwa sababu miezi kama nane au zaidi iliyopita Baba mzazi wa marehemu Akwelina alihojiwa na MillardAyo akiomba msaada kutokana na dhiki inayomkabili yeye na familia yake.
View: https://youtu.be/fboHRmjWb78?si=V_WhgZmUFve6N53h
Continue rest in power Akwilina.