Haki ya "AKWILINA AKWILINI" na maswali ambayo bado yananiumiza kichwa

Daah
Tukio la akwelina lilikuwa ndo mwanzo wa jaribio la kusambaratisha maandamano kwa risasi za moto, badala ya maji washa na gesi za machozi. Na hii ni mojawapo ya legacy ya mwamba mwenyewe magufuli the don.
Daah! Hatari Sana kiongozi, kwa SASA Kila MTU anasema anavyotaka, mradi usiende kinyume na watawala.

Wakina mwaipopo wanaitwa na kupewa hela ya maji.
 
Kabsa mkuu! Pole Sana Nina Imani siku moja haki itapatikana
 
Kifo Cha huyo Binti wa pale Rombo kiliniumiza sana, hasa nikiangalia interview za wazazi wake, ni huzuni kwa kweli

Apumzike kwa Amani Akwilina, Nyota iliyozimika ghafla
 
Pole
Kifo Cha huyo Binti wa pale Rombo kiliniumiza sana, hasa nikiangalia interview za wazazi wake, ni huzuni kwa kweli

Apumzike kwa Amani Akwilina, Nyota iliyozimika ghafla
Pole Sana mkuu! Huu mkasa nimeshindwa kuusahau kabsa.

Na ndio mwanza wa matukio ya ajabu na ukandamizaji wa haki za binaadamu
 
Walijengewa lini na huo mzigo wa maana walipewa lini hao wazazi wake?? Nauliza hivi kwa sababu miezi kama nane au zaidi iliyopita Baba mzazi wa marehemu Akwelina alihojiwa na MillardAyo akiomba msaada kutokana na dhiki inayomkabili yeye na familia yake.


View: https://youtu.be/fboHRmjWb78?si=V_WhgZmUFve6N53h
Continue rest in power Akwilina.
 
Mkuu Baze,@bazenga01, kwanza thanks for this,pili pongezi kwa Millard AYO kwa kufanya folloup story,media zetu baada ya tukio,zinafuatia ahadi kemkem,but no one follows up the matter!

I didnt know this!.

Zile ahadi kumjengea nyumba,na kumlipa kifuta machozi kinene,ni solid promises zilizotolewa na authoritative government officials and are the records!

Huyu mzee asaidiwe kwanza to refresh the promises,kisha asaidiwe kuanzia kwa mbunge wake,DC, RC hadi wizarani na mwisho kule juu kabisa!

Aquiline alikuwa ni mtoto wa 6 na ana wadogo wawili ambao wamesomeshwa na serikali but they messed!,ana wakubwa zake 5,all of them they are nothing!hii maana yake Aquiline ndio the chosen one kwa familia yake!

Mzee Aquilin asaidiwe sio tuu kupata haki ya mtoto wake,bali pia kumpanga kimaisha. Alipouulizwa asaidiwe nini,akasema kujengewa nyumba,akijengewa tuu nyumba,hiyo nyumba haileti mkate mezani!,ajengewe nyumba na kuwekewa mradi to generate money!

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…