Salaam, Shalom!!
Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo.
Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe Awamu Moja tu.
Swali; Nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu ambaye haonekani bungeni, Wala jimboni haonekani, amehamishia makazi mjini, anatamba kuwa akija na pesa atachaguliwa tu, tupende tusipende?
Karibuni.