- Thread starter
- #21
Haya mambo ya kuzalisha pesa mitandaoni, wafanye wasio na mashamba,Usifanye kosa kumpa pesa azalishe, uwezekano kwamba ataipoteza ni zaidi ya asilimia 90.
Kosa analofanya huyo mdau ni kuwa na matarajio makubwa mno, kwa mindset hiyo badala ya kutrade atajikuta anafanya gambling na mwishowe ataishia kupigwa.
Huyo rafiki atafute issue nyingine ya kufanya. Mm mwenyw trading naifanya kama side hustle tu kwa sabb kuna wakat huwa napata hasara.
Japo kipato cha forex kinaweza kukidhi mahitaji yangu yote lakin sitegemei forex tu kuishi!
Niko na backup plan 🚜
Tanzania Bado tuna ardhi kubwa sana ya kulima. Wakulima wadhaminiwe tractors, mbolea Ili tusonge mbele.