Asee!!Katiba mpya ndo suluhu,hii ya kale ni ngumu sana.Rejea kesi ya Uviko-19.
Rasimu aliyosimamia Judge Warioba irudi mezani, yafanyike marekebisho kidogo, hatimaye tupate tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote.Katiba. Katiba. Katiba
Ccm kamwe hawawezi kukubali kwa hiari pendekezo hili. Kwasabb wanajua wataondoka asubuhi na mapema.Rasimu aliyosimamia Judge Warioba irudi mezani, yafanyike marekebisho kidogo, hatimaye tupate tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote.
Tunataka ipatikane namna kikatiba hata Rais afukuzwe KAZI ikitokea ameshindwa kutimiza WAJIBU wake ipasavyo.Katiba yetu hii ya sasa haina check & balance - na ndiyo maana Rais wetu anakopa atakavyo sisi wanachi hatuwezi kumfanya lolote same as wabunge na madiwani.
Na ndiyo maana katiba mpya inahitajika leo, watanganyika amkeni acheni u CCM nchi inaondoka hii mtashtuka yamebaki mabua.
Sisi ndio bosses wao, tusimame katika nafasi yetu na kujitambua.Ccm kamwe hawawezi kukubali kwa hiari pendekezo hili. Kwasabb wanajua wataondoka asubuhi na mapema.
Rasimu ya judge Warioba ilitoa mwanya huo adhimu wa kumfuta KAZI mbunge akiwa ndani ya utumishi.Utaweza kumfuta kazi kwa kupitia chama chake. Andaa sababu konki za kwa nini afutwe kazi. Ikigoma sana mbunge mtafutie demu akapige then huyo demu kamfumue marinda (mkubaliane na demu) mkashtaki kuwa kalawiti. Bye bye chama kinamfuta uanachama nae anaaga ubunge. Kama hawajakupa mandate ya kumuadhibu basi hila zihusike tu la sivyo waweke namna unavyoweza kumuwajibisha.
Mwanasiasa yupo pale kuhakikisha anabaki madarakani.Rasimu ya judge Warioba ilitoa mwanya huo adhimu wa kumfuta KAZI mbunge akiwa ndani ya utumishi.
Sasa kwanini wanakalia maoni ya wananchi?
Si sawa kukalia Rasimu ya Katiba ya wananchi ilhali viti vyenye sponge murua vipo!!
Ukomo umemshika shati Rais kuzidi miaka kumi, mbunge pia apigwe Pini,Mwanasiasa yupo pale kuhakikisha anabaki madarakani.
Si Rahisi kumuua aliyekufa na kufufuka.Watakuua
SawaSi Rahisi kumuua aliyekufa na kufufuka.
Wasomi Badala ya kujihusisha na biashara ya KILIMO, wananunua dollar mitandaoni na kubeti,Mpya kwa ambao hawajawahi kumtumia 🙄
Kuna Rafiki yangu Huwa nashauri aachane na utapeli huu hanielewwi,Tunalima pia mkuu
Huo msamiati haumo kwenye kamusi ya VICTORS/ WASHINDI.
Kuna mambo mengine unaachana nayo. Ushasikia nchi gani duniani Mbunge anaondolewa Ubunge kisa hachangii Bungeni? Acheni ushamba!Salaam, Shalom!!
Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo.
Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe Awamu Moja tu.
Swali; Nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu ambaye haonekani bungeni, Wala jimboni haonekani, amehamishia makazi mjini, anatamba kuwa akija na pesa atachaguliwa tu, tupende tusipende?
Karibuni.