Haya mambo ya kuzalisha pesa mitandaoni, wafanye wasio na mashamba,Usifanye kosa kumpa pesa azalishe, uwezekano kwamba ataipoteza ni zaidi ya asilimia 90.
Kosa analofanya huyo mdau ni kuwa na matarajio makubwa mno, kwa mindset hiyo badala ya kutrade atajikuta anafanya gambling na mwishowe ataishia kupigwa.
Huyo rafiki atafute issue nyingine ya kufanya. Mm mwenyw trading naifanya kama side hustle tu kwa sabb kuna wakat huwa napata hasara.
Japo kipato cha forex kinaweza kukidhi mahitaji yangu yote lakin sitegemei forex tu kuishi!
Niko na backup plan 🚜
Mitano yote yupo kimya,Kuna mambo mengine unaachana nayo. Ushasikia nchi gani duniani Mbunge anaondolewa Ubunge kisa hachangii Bungeni? Acheni ushamba!
Sio mbunge tu, hata Rais kama zuma anaweza kuondolewa kwenye mfumo wenye nguvu.Kuna mambo mengine unaachana nayo. Ushasikia nchi gani duniani Mbunge anaondolewa Ubunge kisa hachangii Bungeni? Acheni ushamba!
Kwani fomu ya kugombea Ubunge inasema aongee mara ngapi Bungeni?Mitano yote yupo kimya,
Sasa anawakilisha nini!!
Zuma aliondolewa kwenye Uwenyekiti wa Chama chake cha ANC. Hakuondolewa kwenye Urais. Weka hiyo kichwani. Kama hujaelewa niulize.Sio mbunge tu, hata Rais kama zuma anaweza kuondolewa kwenye mfumo wenye nguvu.
Fomu ni karatasi tu,Kwani fomu ya kugombea Ubunge inasema aongee mara ngapi Bungeni?
Aaghh!Fomu ni karatasi tu,
Wananchi ,wenye Nchi ndio wenye maamuzi ya mwisho, kubadili au kuboresha chochote wakitakacho.
U unge usiwe ajira, ni temporary mission ya miaka 5 pekee, na ukishindwa kuperform sawasawa na mkataba, ufukuzwe haraka.
Kweli kabsa mkuu zanzibar tayali inajiongoza na serikali yake kila kitu kwa sasa inajipangia yenyeweKatiba yetu hii ya sasa haina check & balance - na ndiyo maana Rais wetu anakopa atakavyo sisi wanachi hatuwezi kumfanya lolote same as wabunge na madiwani.
Na ndiyo maana katiba mpya inahitajika leo, watanganyika amkeni acheni u CCM nchi inaondoka hii mtashtuka yamebaki mabua.