HAKI ya kumpata Papa Mpya IPO wapi? Wanawake, Vijana & Wa-Afrika hawana Haki ya kuchaguliwa?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,681
Reaction score
9,575
Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii?
#NoReform_NoNEWPope#
 
Utaratibu uko wazi, kanisa katoliki halina nafasi za wanawake kwenye upadrisho hata kuwa pope
Ni kitu kinajulikana waaaay back, level ya mwisho ambayo wanawake wanaweza fikia ni mother superior or abbess. Which ni close but not equal to pope

Waliosoma seminary wanafaham hili
 
Mwanamke anakuwaje papa sasa? 😂 Au kijana fulani kama hamorapa eti Papa😂😂😂😂
 
Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii?
Hiyo ni Taasisi ikiyokomaa tangu enzi hawawezi kumpa kijana au mwamke ulishawahi kuona father au padri mwanamke?
 
#
Utaratibu uko wazi, kanisa katoliki halina nafasi za wanawake kwenye upadrisho hata kuwa pope
Ni kitu kinajulikana waaaay back, level ya mwisho ambayo wanawake wanaweza fikia ni mother superior or abbess. Which ni close but not equal to pope

Waliosoma seminary wanafaham hili
Reform huko hamna?
 
Back
Top Bottom