Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Ufaratibu wa kibaguzi?Utaratibu wao unasemaje
Mungu ni mwanaume na wawakilishi wake ameamuru wawe wanaume.Ufaratibu wa kibaguzi?
Kama sio special ni nini? Tunaongozwa na madikteta bado tunachekeleaWa afrika mnapenda kujiona watu wa special sana.
Utaratibu uko wazi, kanisa katoliki halina nafasi za wanawake kwenye upadrisho hata kuwa popeWanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii?
Hiyo ni Taasisi ikiyokomaa tangu enzi hawawezi kumpa kijana au mwamke ulishawahi kuona father au padri mwanamke?Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii?
HAKI IPO wapi?Hiyo ni Taasisi ikiyokomaa tangu enzi hawawezi kumpa kijana au mwamke ulishawahi kuona father au padri mwanamke?
Reform huko hamna?Utaratibu uko wazi, kanisa katoliki halina nafasi za wanawake kwenye upadrisho hata kuwa pope
Ni kitu kinajulikana waaaay back, level ya mwisho ambayo wanawake wanaweza fikia ni mother superior or abbess. Which ni close but not equal to pope
Waliosoma seminary wanafaham hili