Haki ya Wapalestina

Haki ya Wapalestina

Yes wapalestina kuna namna walidhulumiwa haki zao

Lakini bado najiuliza hivi Hamas waliwaza nini hadi kuamua kufanya waliofanya Oct 7?

Kwasababu walikua wanajua kabisa Israel watakacho wafanya
Na sasa wanaishi kama digidigi
Gaza nzima imesambaratishwa viongozi wote wa juu wameuwawa na wamewapa nafasi Israel kuamua Gaza mpya itakuaje kuwa favor Israel
 
Hivi mnajua kwamba huo mgogoro ulianza kabla ya Oct 7, na kabla hata hiyo Oct 7 Israeli amekua akiua kiholela kadili atakavyo na hata kujitwalia maeneo kitemi.

Kilichofanyika Oct 7 ni kama mnyonge tu alikuwa akijaribu kujitetea baada ya uonevu kudhidi.
 
Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.

Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee,propaganda za hovyo dhidi ya wapalestina hazina maana yoyote,tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza,mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu,wanauawa

Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote,lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao.Mungu sio dhulumati.Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana,na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu,roho inaniuma sana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udhulumati
Huu ndio ukweli.
 
Wapalestina wawalaumu Hamas na si vinginevyo
 
Hivi mnajua kwamba huo mgogoro ulianza kabla ya Oct 7, na kabla hata hiyo Oct 7 Israeli amekua akiua kiholela kadili atakavyo na hata kujitwalia maeneo kitemi.

Kilichofanyika Oct 7 ni kama mnyonge tu alikuwa akijaribu kujitetea baada ya uonevu kudhidi.
Ni.kweli.kabisa.
 
Ila nyie mlivyowavamia kwao mkawaua mlikuwa wastaarabu eeeeh
Asante,muhimu kuliko yote elewa wapalestina wanaonewa,sibabaiki kwa hiyo lugha unayotumia,mtu anapojishusha chini kabisa kimaafili,fawa sio kwenda chini aliko bali ni kwenda juu sana,kumuonesha kuwa ustaarabu ni kipimo cha u
 
Yes wapalestina kuna namna walidhulumiwa haki zao

Lakini bado najiuliza hivi Hamas waliwaza nini hadi kuamua kufanya waliofanya Oct 7?

Kwasababu walikua wanajua kabisa Israel watakacho wafanya
Na sasa wanaishi kama digidigi
Gaza nzima imesambaratishwa viongozi wote wa juu wameuwawa na wamewapa nafasi Israel kuamua Gaza mpya itakuaje kuwa favor Israel
Umeuliza jambo kubwa sana kwamba waliwaza nini,hili jambo bado hata mie sina jibu ingawa ninasoma taarifa nyingi mno kutafuta ukweli na pia naongea na watu wengi sana kutafuta ukweli,pale nitakapopata ukweli ntaueleza hapa
 
Historia ya pale mahala kuna mahala haipo sawa ndio maana dunia imenyamaza kimya.

Ukweli utakapo semwa na wale wakubwa wa dunia ndio vita itakapokoma pale mashariki ya kati.
 
Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.

Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee,propaganda za hovyo dhidi ya wapalestina hazina maana yoyote,tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza,mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu,wanauawa

Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote,lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao.Mungu sio dhulumati.Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana,na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu,roho inaniuma sana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udhulumati

Achana na wale ambao wameamua kuuana kimakusudi.
Afrika tunaonewa, tunauawa, tunadhulumiwa na majanga ya kuvulugwa kwa kila aina, lakini kila mtu yuko kimya, kana kwamba hamna mtu anayeumizwa
 
Umeuliza jambo kubwa sana kwamba waliwaza nini,hili jambo bado hata mie sina jibu ingawa ninasoma taarifa nyingi mno kutafuta ukweli na pia naongea na watu wengi sana kutafuta ukweli,pale nitakapopata ukweli ntaueleza hapa
Au ndio zile tetesi kwamba Israel ilijishambulia au iliacha mwanya makusudi na kuratibu shambulio kwa kutumia Mossad agent ndani ya Hamas?

Inafikirisha sana
 
Dah ni ngumu kutetea hili ila sisi ni waoga hakika ikiwemo na mimi sijui tupoje yani🤣🤣
Mkuu, sisi sio waoga. Akili yetu imeridhika na kupata msosi, burudani kama soka na ngono. Hapo Tanga kuna bahari ila unaitwa mji wa mapenzi yaani ngono, ukienda wenyeji wake wakishashiba vitumbua na maziwa suala la tunaboresha vipi bandari unadhani litakuja kichwani wakati wanasifiwa ni wajuzi wa mahaba?
 
sijakushauri wewe au mwingine chochote bali nasema wapalestina wanaonewa,vyombo vya kidunia vinavyohusika viwatetee.

Vyombo vya dunia vimeitengeneza Israel. Sio rahisi kuwageuka. Na kuna sababu. Kuanzia 1400s, watu wasio na ushirka na Mwenyezi Mungu, wakifanya kazi kwa siri, wameliamua kubadili kila mtazamo chanya wa maisha ya mwanadamu.
Ndio walianzisha vita ya kwanza, na ya pili.

Na ikitokea ya tatu, watu hao hao watahusishwa. Wao wanaamini maisha ya mwanadamu yanaishia hapa hapa kwahiyo lazima uishi unavyoweza. Hata kama ni kwa kucheza rafu.
 
Muda utaongea
 
Mkuu, sisi sio waoga. Akili yetu imeridhika na kupata msosi, burudani kama soka na ngono. Hapo Tanga kuna bahari ila unaitwa mji wa mapenzi yaani ngono, ukienda wenyeji wake wakishashiba vitumbua na maziwa suala la tunaboresha vipi bandari unadhani litakuja kichwani wakati wanasifiwa ni wajuzi wa mahaba?
Daaaah mkuu hii ina kiukweli fulani🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
palestina ni taifa,sio kabila,ndani ya nchi hiyo kuna kila kabila,wapo wayahudi,waarabu,na kabila nyingi
Ndan ya palestina hakuna myahudi chief ila before walikuwa wote ila waarabu wanaojiita palestina hawawataki wayahud na ndio maana wayahud walivyowakabidhi gaza waarabu walivunja mahekalu yao yote na shule pia.
 
Muda utaongea

Muda unaongea maana hatuishi milele. Hizi vita ni agenda za kishetani. Zinawabeba wanaouza silaha na zinatengenezwa kumbanania mambo mengine kama nishati, nguvu na utawala.

Nishati ipo ya kutosha. Dunia sio lazima iwe na fossils peke yake ili ipate nishati. Kuna solar, wind, geothermal, ocen waves, hydro etc. Coal iko nyingi dunia nzima.

Coal nayo ipo kama ikibidi, ingawa wanasema ni ni nishati chafu. Nashangaa kwanini fossil fuel hawasemi ni nishatio chafu nayo.

Kiufupi, tuache kushabikia hizi vita. Hakuna dini wala watu wenye ustaarabu wanaonufaika nazo. Wanaoumia ni watu wa dini zote wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom