Haki ya Wapalestina

Haki ya Wapalestina

Ndan ya palestina hakuna myahudi chief ila before walikuwa wote ila waarabu wanaojiita palestina hawawataki wayahud na ndio maana wayahud walivyowakabidhi gaza waarabu walivunja mahekalu yao yote na shule pia.

Shida kubwa ni kuendelea kuchukua maeneo ya palestine kinyume na mgawanyo wa 1948. Israel inafanya occupation kwa kutumia ubabe
 
Israel hata wasipofanya ubabe bado watakua ni maadui wakubwa wa waislamu.

Waislamu wanafuata muongozo wa kwenye Quran, Quran imewaamrisha waislamu kuwa wayahudi ni maadui zao. Hivyo tusimeze maneno, hakutakua na urafiki Kati ya wayahudi na waislamu
 
Ipo shida mahala..kwanini waislamu wamejivika hili suala kama suala binafsi? Kuna wakristu wangapi wanaonewa middle east kwenye nchi za kiislamu na hakuna anayelalamika? Nchi nyingi zinawaonea wakristu kwa wazi au kwa siri na hawasemi lolote.

Ukiangalia sana, hata Israel kuna wayahudi waislamu. Mbona hao hawazungumzwi?

Tuache unafiki. Kila mtu abaki na dini yake. Haya ya uonezi yanafanywa kwa watu wengi
 
Hapa ndipo unapokosea bro,anzia hapa,nani kadhulumu ardhi ya mwenzie? je ni wapalestina wangapi wameuawa na waisraeli? je ninwapalestina wangapi wamefungwa bila hatia na kinyume na haki?

Ardhi ilikuwa ya wote. Zilifuatwa taratibu za kimataifa kupata Taifa la Israel, baada ya Waingereza kuamua kuondoka kufuatia resisitance ya kila mara ya Wayahudi. Waarabu wa Palestine wakaridhia. Lakini waarabu wa mataifa jirani wakapinga na kuwaambia waarabu wa Palestine wasikubali kuwa Taifa moja na Wayahudi. Tume ya Umoja wa Mataifa ikatumwa kupata maoni ya jamii husika. Wayahudi wengi na waarabu wachache wakaridhia kuwa kwenye Taifa moja. Waarabu wengi wakakataa, wakitaka kuwepo mataifa mawili, moja ni hilo la Israel, na la pili ni la Palestine. Umoja wa mataifa wakatengeneza mipaka ya mataifa hayo mawili, Taifa la Israel likipewa 52% na Waarabu wa Palestine 48%. Wapalestina wakaridhia lakini nchi za Kiarabu zikapinga. Kwenye Umoja wa Mataifa, nchi nyingi wanachama zikaridhia huo mgawanyo. Waarabu wa Palestine, badala ya kuchukua hiyo 48% waliyotengewa, wakishawishiwa na kusaidiwa na nchi za kiarabu, wakaivamia Israel na kuanzisha vita wakitaka kuwaangamiza wayahudi wote waishe eti ili wao wachukue eneo lote. Vita ilianzishwa na waarabu, siyo Wayahudi. Lakini bahati mbaya kwao, wakapigwa vibaya. Kanuni za vita vya kale, ukishindwa, inakuwa kama inavyofanya Russia huko Ukraine, maadui zako wanateka eneo lako, na ukishindwa kulirudisha kwa kupitia mapigano, ujue hilo eneo limekwenda.

Tatizo siyo waarabu wa West Bank na Gaza, tatizo ni Iran. Wakiachwa waarabu wa Palestine wenyewe kabisa na Israel, kwa usaidizi wa mataifa yenye dhamira njema, haitachukua muda Wapalestina na Waisrael ama watakuwa Taifa moja lenye jamii zinazoishi kwa amani au mataifa mawili jirani ambayo yana jamii zinazoshirikiana. Kabla tar 7 October mwakajana, kulikuwa na waarabu wengi wa Palestina wanaofanya kazi Israel, lakini pia ndani ya Israel kuna idadi kubwa ya waarabu waislam ambao wamekuwa wakiishi bila shida. Tatizo ni hao hamas wanapoingia na kujifanya watu wazuri, kisha wanashambulia na kuua wayahudi, hapo sasa na watu wengine wasio na hatia wanaanza kutiliwa mashaka.
 
rejea historia vizuri na kwa utulivu,utaupata ukweli
 
Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.

Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee, propaganda za hovyo dhidi ya Wapalestina hazina maana yoyote, tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh sijui waislamu mara oh wao ndio wameanza, mara ohh hiyo ardhi ya wayahudi walipewa na Mungu, wanauawa

Wazee,watoto,wanawake,wasio na hatia,njama za waziwazi za kuwaua ili waishe wote, lakini Mungu yupo ipo siku atawapa haki yao. Mungu sio dhulumati. Mimi ni mkristo japo sio niliyeshika dini sana, na mmoja wa wazazi wangu anatoka ulaya magharibu, roho inaniuma sana jinsi wapalestina wanavyouliwa,ila ipo siku historia itajibu huu udhulumati

View: https://x.com/Osint613/status/1848343469929930805
 
Tatizo la Palestina ni Iran ndio maana unaona nchi nyingi za kiarabu zinaendelea tu na mambo yao Iran ndio mchochezi mkuu wa mgogoro Palestina
Irani yuko sahihi anasaidia vikundi vya wapalestina vinavyopambana na Israeli ili kujipatia uhuru wa kweli.
Tanzania pia ilisaidia magaidi wa A.N.C South afrika, magaidi wa frelimo msumbiji, na magaidi wengine wote waliokuwa wanapigania uhuru kwenye nchi zao. Kwa akili zako za kikoloni kama unavosema irani ndio tatizo,
Ungekuwepo kipindi kile pia ungesema tz ndio tatizo.
 
Back
Top Bottom