Haki yangu kikatiba ya kushawishi/hamasisha wamuongezee muda Rais Magufuli

Haki yangu kikatiba ya kushawishi/hamasisha wamuongezee muda Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
5G3TVR.png

1. Katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na marekebisho yake ya 30th April 2000 yananipa haki zote kama raia halali wa Taifa la Tanzania kuwa na mawazo huru juu ya jambo lolote ambalo halivunji sheria za nchi yetu.

Mimi kama Mtanzania tarehe 16 Februari 2020 nilianzisha uzi unaosema "KARIBU TUJIUNGE NA KUNDI LA MAGUFULI TENA 2025" na mjadala katika kundi hili ulikuwa unaendelea. Kwa bahata mbaya sana.

2. Katiba ya jamhuri ya Tanzania ( 1977) kuanzia ibara ya18 (UHURU WA MAONI) , ibara ya19 ( UHURU WA MTU KUSHIRIKIANA NA MTU MWINGINE) kwa pamoja zinasema

Ibara 18.1 Bila kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake,na kutafuta,kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru mawasilano yake kutoingiliwa kati.

Naomba nielezee ibara hii ya 18.1; ni kwamba nina uhuru wa kutoa mawazo yangu yoyote, katika chombo chochote ikiwemo Jamii Forums, bila kuingiliwa na yeyote.

Ibara 20.1 Kila mtu anastahili kuwa Huru, bila ya kuathiri Sheria za Nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanyika, na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na vyama au mashirika yaliyo anzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mengineyo.

Nia yangu ni thabiti, ni kuanzisha mchakato wa kubadirisha Katiba kwa kukusanya signatures zaidi ya million tano za wa Tanzania ili kuweza kukidhi matakwa ya kikatiba ya kumuongezea angalau muhala mwengine Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli,

KAULI MBIO YETU NI.

"H.E President Magufuli is too valuable to retire, Tanzanians needs him now more than ever" " Mhe, Rais Magufuli ni wathamani sana kustaafu, Watanzania wanamuhitaji sasa kuliko kipindi kingine chochote"

MWISHO

Kama nilivyo quote vipengele vya katiba, basi naomba mawazo yangu yaheshimiwe. Situkana, sijapanga kuua, wala sija panga kuvunja sheria za Nchi, ninafuata taratibu zote ili kubarisha vipengere vya Katiba ambayo siyo Msaafu wala siyo Bibilia.
 
Upvote 3
Unataka “maendeleo” yanayoletwa na mtawala fulani au unataka “maendeleo endelevu”yasiyofungamana na mtawala?

kama ni ya kwanza, basi angalau jifunze kwenye historia ili kuona tatizo lake. Nyerere alitawala kwa miaka 25! na sera ya ujamaa na kujitegemea. Umeona kilichotokea baada ya kuachia ngazi?

kama unataka ya pili, kwa maoni yangu, historia imeonyesha kuwa tunahitaji mipango ya kitaifa sio ilani za vyama + katiba inayowapa wananchi madaraka zaidi (katiba ya warioba ni mwanzo mzuri) na sio hii ya kifalme.

Hoja yako ya kwanza inajadilika kwa kuwa umeweka mifano dhahiri.

Hoja ya pili haina mashiko kwani haina nyama wala vielelezo vya kui support.

So come again
 
Valuable kwa maana ni wathamani sana, tumekaa zaidi ya miaka 30 tangu baba wa Taifa ndio tukampa Rais Magufuli, hatuwezi kukubali kukaa kipindi kirefu kama hicho wakati Rais bado yupo.

Sina haja ya kumuelezea kwa chochote, amefanya mambo mengi in 5 years kuliko mtu yeyote kwa terms zao zate walizokaa madarakani.

Just mention anything, amegusa maeneo yote ya nchi.

Mnachotaka ni nini.

Ndio maana ninasema we need him now more than ever

nahisi sasa nimehisi unachokihisi. Pole sana.
LAKINI suluhisho lake sio hilo unalotaka. Soma nilichokuandikia mwishoni labda utaelewa.
 
Una ushahidi wowote wa sheria alizovunja??

Unaweza kuthibitisha?

Hapa sio mahakaman, ila wana ccm wanavunja sana sheria, na kuvunja sheria reference si tunatumia katiba ? ...mfano rahis tu, cecil mwambe alijifuta ububge lakin bado akarudishwa bungeni na akalipwa fedha za kodi ambazo sisi tunalipa, haya hapa sheria gani alifuata huyu magufuli ? ya mdomo wake au ?
 
Nashindwa kuelewa sijui kwanini awamu ya tano limeibuka kundi kubwa sana la wapumbavu ambao kamwe haijawahi kutokea.Wapumbavu hawa wameziba masikio hata wasisikie la muhazini wala la mnadi swala
 
Hoja yako ya kwanza inajadilika kwa kuwa umeweka mifano dhahiri.

Hoja ya pili haina mashiko kwani haina nyama wala vielelezo vya kui support.

So come again

jadili ya kwanza.
 
Seems you're beyond repair!

Umejitwisha jukumu ambalo huna uwezo nalo.

That's all I can say to you.

Huna uwezo wa kushawishi?

Lugha hakuna, ufahamu wa jambo unalotetea huna; utategemea kupata watu wa kukuunga mkono huko kwenye mitandao unakowaita waje muweke shinikizo la kubadili katiba?

Tafuta msaada mkuu, kama kweli unayo 'commitment' ya kazi unayotaka kuitimiza.

Kwa mimi ndiye sina lugha ya ushawishi??

**** unajua dhamira yangu ni kuwa na watu wenye mlengo kama wangu. Sihitaji kumlazimisha yeyote, na wala sitatumia nguvu nyingi kuwashawishi wana jambi humu.

Ila, mchakato huu ndio kwanza umeanza, so kaa kwa kutulia uone show.
 
Wewe uzoefu unao? Tumeanza kutishiana uzoefu tena?

Je! Hoja yangu ni mufilisi kama zenu?
Eeenh, "tishio" hapo ni lipi. Ushauri ni 'tishio"?

Ni Katiba hiyo hiyo inayokupa uwezo wa kuziona hoja usizokubaliana nazo kuwa ni "hoja mfilisi"?

You ain't ready for the high noon of JF kid!
 
Katiba sio msahafu, inabadirishwa kilwa inapoonekana inafaa.

Sasa ni wakati wa kuibadirisha ili Mhe Rais aongezewe mitano tena

Unaogopa akitoka madarakani maisha yako yatakuwa magumu? Hana ubora wowote ila unataka aonekane ni bora kwakuwa kila anayemkosoa au kumpinga anatishiwa kuuwawa, ama anakamatwa na vyombo vya dola. Hata madictator kama Mussolin, Gaddaf nk walikuwa na watu wao kama ww waliotaka waendelee kukaa madarakani, sio kwa ubora bali vitisho, rushwa na hata mauaji. Hivyo ww unalofanya hapa sio geni kabisa.
 
Askofu kahamasisha maandamano.
Mimi, nimeunda TELEGRAM group kwa ajili ya kufuata taratibu zote za kisheria katika kufanya amendment za Katiba.

Kosa langu liko wapi?

Askofu kakosea kuhamasisha maandamano ya amani ? kosa lake kisheria liko wapi ?
 
Valuable kwa maana ni wathamani sana, tumekaa zaidi ya miaka 30 tangu baba wa Taifa ndio tukampa Rais Magufuli, hatuwezi kukubali kukaa kipindi kirefu kama hicho wakati Rais bado yupo.

Sina haja ya kumuelezea kwa chochote, amefanya mambo mengi in 5 years kuliko mtu yeyote kwa terms zao zate walizokaa madarakani.

Just mention anything, amegusa maeneo yote ya nchi.

Mnachotaka ni nini.

Ndio maana ninasema we need him now more than ever

kafanya nini magufuli leta mifano hapa ya sababu kwanini abaki wakati katibginganya kila kitu ? rais gani ana double standards za wazi wazi kabisa ? rais gani anajiropokeaga ivyo ?
 
Unataka “maendeleo” yanayoletwa na mtawala fulani au unataka “maendeleo endelevu”yasiyofungamana na mtawala?

kama ni ya kwanza, basi angalau jifunze kwenye historia ili kuona tatizo lake. Nyerere alitawala kwa miaka 25! na sera ya ujamaa na kujitegemea. Umeona kilichotokea baada ya kuachia ngazi?

kama unataka ya pili, kwa maoni yangu, historia imeonyesha kuwa tunahitaji mipango ya kitaifa sio ilani za vyama + katiba inayowapa wananchi madaraka zaidi (katiba ya warioba ni mwanzo mzuri) na sio hii ya kifalme.

Jamaa haelewi sasa
 
nahisi sasa nimehisi unachokihisi. Pole sana.
LAKINI suluhisho lake sio hilo unalotaka. Soma nilichokuandikia mwishoni labda utaelewa.

Suluhisho ni nini?

Mfumo imara? Ambao unatengenezwa na nani? CHADEMA???? what do want to say?

Kwamba kwa kuwa ulipitia Bagamoyo kwenda Chalinze basi nikipitia Kibaha Sifiki?

Oooh please, kila nchi ina utaratibu wake, huo mfumo imara na taasisi imara zinawekwa na watu sampuli ya Magufuli.

So relax
 
jadili ya kwanza.

Ishu ya sera za baba wa taifa kukwamaa zilichagizwa na mambo mengi, bila kumung’unya maneno, ujamaa ulikwama sio tu Tanzania bali hata USSR na China waliokuwa washirika wetu wakubwa.

Hivyo haikuwa swala la sera la baba za baba wa Taifa, ilikuwa ni swala la sera za kidunia, mfumo wa kibepali ulikuwa na nguvu sana miaka hiyo ya 80, hivyo ilitubidi kuendana na mfumo huo.

Lakini wote ni mashahidi, sera za ujamaa zilifanikiwa kwa kipindi kirefu cha utawala wa Baba wa Taifa hasa miaka ya 60 mwishoni na 70 mwanzoni.

So haikuwa total failure bali alifanikiwa kwa kiasi fulani.
 
Kwa mimi ndiye sina lugha ya ushawishi??

**** unajua dhamira yangu ni kuwa na watu wenye mlengo kama wangu. Sihitaji kumlazimisha yeyote, na wala sitatumia nguvu nyingi kuwashawishi wana jambi humu.

Ila, mchakato huu ndio kwanza umeanza, so kaa kwa kutulia uone show.
So far, "show" hii inaonyesha haina mtu sahihi wa kuiendesha. Mwisho wa siku itakuwa ni yale yale niliyoandika na ukashindwa kuyajibu.
Kama hii "show" umetumwa na huyo huyo anayejulikana kukiuka taratibu, sheria na hata Katiba; yule yule asiyejali HAKI za watu anaojigamba anawaongoza, basi ninakubaliana na wewe "SHOW" yenu haina pingamizi.

Huo unaouita "mchakato huu" hautakuwa na tofauti yoyote na ule uliofanyika wakati wa uchaguzi mkuu.

Lakini nikuulize, ya nini mhangaike na maigizo yote haya mnayofanya?
 
Eeenh, "tishio" hapo ni lipi. Ushauri ni 'tishio"?

Ni Katiba hiyo hiyo inayokupa uwezo wa kuziona hoja usizokubaliana nazo kuwa ni "hoja mfilisi"?

You ain't ready for the high noon of JF kid!

Sasa nimekuwa Kid.

Great minds discusses issuies and low/poor minds discusses personalities.

I rather grade to to the later category, thats were you deserve to be.

Poor low minded
 
kafanya nini magufuli leta mifano hapa ya sababu kwanini abaki wakati katibginganya kila kitu ? rais gani ana double standards za wazi wazi kabisa ? rais gani anajiropokeaga ivyo ?

Ulitakaje sasa ndiyo kapata 84% official votes.

Mengine ni Porojo tu
 
Sasa nimekuwa Kid.

Great minds discusses issuies and low/poor minds discusses personalities.

I rather grade to to the later category, thats were you deserve to be.

Poor low minded
Eeenh, JJB you have no need for using a language that is clearly beyond your capability.
Stick to what you know best.
 
Nashindwa kuelewa sijui kwanini awamu ya tano limeibuka kundi kubwa sana la wapumbavu ambao kamwe haijawahi kutokea.Wapumbavu hawa wameziba masikio hata wasisikie la muhazini wala la mnadi
Ishu ya sera za baba wa taifa kukwamaa zilichagizwa na mambo mengi, bila kumung’unya maneno, ujamaa ulikwama sio tu Tanzania bali hata USSR na China waliokuwa washirika wetu wakubwa.

Hivyo haikuwa swala la sera la baba za baba wa Taifa, ilikuwa ni swala la sera za kidunia, mfumo wa kibepali ulikuwa na nguvu sana miaka hiyo ya 80, hivyo ilitubidi kuendana na mfumo huo.

Lakini wote ni mashahidi, sera za ujamaa zilifanikiwa kwa kipindi kirefu cha utawala wa Baba wa Taifa hasa miaka ya 60 mwishoni na 70 mwanzoni.

So haikuwa total failure bali alifanikiwa kwa kiasi fulani.
Jibu swali nililokuiliza kwenye hiyo joja.
 
So far, "show" hii inaonyesha haina mtu sahihi wa kuiendesha. Mwisho wa siku itakuwa ni yale yale niliyoandika na ukashindwa kuyajibu.
Kama hii "show" umetumwa na huyo huyo anayejulikana kukiuka taratibu, sheria na hata Katiba; yule yule asiyejali HAKI za watu anaojigamba anawaongoza, basi ninakubaliana na wewe "SHOW" yenu haina pingamizi.

Huo unaouita "mchakato huu" hautakuwa na tofauti yoyote na ule uliofanyika wakati wa uchaguzi mkuu.

Lakini nikuulize, ya nini mhangaike na maigizo yote haya mnayofanya?

Wewe kwako Haki ni nini?

Ni CHADEMA kuwa na wabunge wengi bungeni au Lowasa kuhamia CHADEMA.

Kwako haki ni Lipumba kuisaliti CUF au membe kuhama CCM?

Una maana gani unaposema Haki?
Je? Ni kwa Mbowe kuwa Mwenyekiti wa maisha au Halima mdee na wenzake kuwasaliti CHADEMA.

Kwako haki ni nini hasa?
 
Eeenh, JJB you have no need for using a language that is clearly beyond your capability.
Stick to what you know best.

“JJB you have no need for using” like seriously??? Wat do u mean?

Kama unataka tuhamie kwenye kurekebishana Lugha then karibu, rekebisha tenses
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom