Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini.
Ameendelea kusema hapa chini👇👇
Nawarejesha nyuma kidogo kwenye utetezi wa wale Makomando walioshtakiwa sambamba na Mbowe kwenye kesi ya kubumba ya Jinai. Waliezea namna walivyopelekwa Karakana iliyopo kituo cha Polisi TAZARA na kule Mbweni ambapo walikuwa wanateswa mfululizo.
Vile vile kumekuwepo na malalamiko ya watuhumiwa wengi wanaotoa ushahidi mahakamani dhidi ya hati za viapo za kukubali makosa zinazosainiwa vituo vya polisi kuwa wanateswa sana ili wakubali kusaini maelezo yaliyoandaliwa na maafisa polisi wanaoendesha mahojiano.
Pia kuna wakati, vifo vimekuwa vinatokea kupitia mahojiano haya na hakuna hatua wala maelezo ya ziada yanayotolewa kujibu tuhuma hizi za unyama na ukatili ndani ya vituo vya polisi.
Wanasheria hususan (TlS) watusaidie kutufafanulia kama mateso kwa watuhumiwa ni sehemu ya utendaji wa kisheria.
Kitu cha kushangaza ni kwamba, tunayo TUME YA HAKI ZA BINADAMU ambayo haijawahi kuzungumzia wala kutoa taarifa katika ripoti yao kuhusu uwepo wa Karakana au Gereji za binadamu ndani ya vituo vya polisi.
Mbowe anaposema SAMIA MUST GO ndilo suluhisho pekee la kustawisha utawala unaozingatia haki za binadamu na demokrasia nchini.
Tuzungumze kwa uwazi, Je hizi Karakana ama Gereji ni jinakivuli la vitengo vya utesaji na mauaji yanayoendeshwa na serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake na wapinzani nchini?
CC:
Pascal Mayalla Mdude_Nyagali Erythrocyte Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Haki Amani SAGAI GALGANO Gwappo Mwakatobe Mnyika Mwabukusi Maxence Melo
Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua.Wale polisi wa ostabay (wanne) na watano tuliemkuta "kalakana" nawakumbuka wote kwa sura na maumbile yao.
Ameendelea kusema hapa chini👇👇
Wadada wawili na wanaume watatu. Walinikaribisha kule kalakana kw kusema "karibu hapa ndio ofisini kwetu". Ofisi yao wao ni kalakana.
Mafwele alipofika walimpigia SALUTE