Haki za Binadamu: Vitengo vya karakana ndani ya vituo vya polisi ni kwa kazi gani? Uchunguzi huru ufanyike

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini.

Wale polisi wa ostabay (wanne) na watano tuliemkuta "kalakana" nawakumbuka wote kwa sura na maumbile yao.
Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua.

Ameendelea kusema hapa chini👇👇
Wadada wawili na wanaume watatu. Walinikaribisha kule kalakana kw kusema "karibu hapa ndio ofisini kwetu". Ofisi yao wao ni kalakana.

Mafwele alipofika walimpigia SALUTE

Nawarejesha nyuma kidogo kwenye utetezi wa wale Makomando walioshtakiwa sambamba na Mbowe kwenye kesi ya kubumba ya Jinai. Waliezea namna walivyopelekwa Karakana iliyopo kituo cha Polisi TAZARA na kule Mbweni ambapo walikuwa wanateswa mfululizo.

Vile vile kumekuwepo na malalamiko ya watuhumiwa wengi wanaotoa ushahidi mahakamani dhidi ya hati za viapo za kukubali makosa zinazosainiwa vituo vya polisi kuwa wanateswa sana ili wakubali kusaini maelezo yaliyoandaliwa na maafisa polisi wanaoendesha mahojiano.

Pia kuna wakati, vifo vimekuwa vinatokea kupitia mahojiano haya na hakuna hatua wala maelezo ya ziada yanayotolewa kujibu tuhuma hizi za unyama na ukatili ndani ya vituo vya polisi.

Wanasheria hususan (TlS) watusaidie kutufafanulia kama mateso kwa watuhumiwa ni sehemu ya utendaji wa kisheria.

Kitu cha kushangaza ni kwamba, tunayo TUME YA HAKI ZA BINADAMU ambayo haijawahi kuzungumzia wala kutoa taarifa katika ripoti yao kuhusu uwepo wa Karakana au Gereji za binadamu ndani ya vituo vya polisi.

Mbowe anaposema SAMIA MUST GO ndilo suluhisho pekee la kustawisha utawala unaozingatia haki za binadamu na demokrasia nchini.

Tuzungumze kwa uwazi, Je hizi Karakana ama Gereji ni jinakivuli la vitengo vya utesaji na mauaji yanayoendeshwa na serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake na wapinzani nchini?

CC:
Pascal Mayalla Mdude_Nyagali Erythrocyte Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Haki Amani SAGAI GALGANO Gwappo Mwakatobe Mnyika Mwabukusi Maxence Melo
 
Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini.

Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua.

Ameendelea kusema hapa chini👇👇

Nawarejesha nyuma kidogo kwenye utetezi wa wale Makomando walioshtakiwa sambamba na Mbowe kwenye kesi ya kubumba ya Jinai. Waliezea namna walivyopelekwa Karakana iliyopo kituo cha Polisi TAZARA na kule Mbweni ambapo walikuwa wanateswa mfululizo.

Vile vile kumekuwepo na malalamiko ya watuhumiwa wengi wanaotoa ushahidi mahakamani dhidi ya hati za viapo za kukubali makosa zinazosainiwa vituo vya polisi kuwa wanateswa sana ili wakubali kusaini maelezo yaliyoandaliwa na maafisa polisi wanaoendesha mahojiano.

Pia kuna wakati, vifo vimekuwa vinatokea kupitia mahojiano haya na hakuna hatua wala maelezo ya ziada yanayotolewa kujibu tuhuma hizi za unyama na ukatili ndani ya vituo vya polisi.

Wanasheria hususan (TlS) watusaidie kutufafanulia kama mateso kwa watuhumiwa ni sehemu ya utendaji wa kisheria.

Kitu cha kushangaza ni kwamba, tunayo TUME YA HAKI ZA BINADAMU ambayo haijawahi kuzungumzia wala kutoa taarifa katika ripoti yao kuhusu uwepo wa Karakana au Gereji za binadamu ndani ya vituo vya polisi.

Mbowe anaposema SAMIA MUST GO ndilo suluhisho pekee la kustawisha utawala unaozingatia haki za binadamu na demokrasia nchini.

Tuzungumze kwa uwazi hizi Karakana ama Gereji ambazo ni jinakivuli la vitengo vya utesaji na mauaji yanayoendeshwa na serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake na wapinzani nchini.

CC:
Pascal Mayalla Mdude_Nyagali Erythrocyte Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Haki Amani SAGAI GALGANO Gwappo Mwakatobe Mnyika Mwabukusi Maxence Melo
Torture centers
 
Karibu karakana, keyboard warrior
Nije na kucha zangu au nizing'oe huku huku kabisa?

Tumekuwa keyboard worrior kwa sababu serikali yetu imetunga sheria za kukandamiza ukosoaji ikisema tunawachafua viongozi
 
Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini.

Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua.

Ameendelea kusema hapa chini👇👇

Nawarejesha nyuma kidogo kwenye utetezi wa wale Makomando walioshtakiwa sambamba na Mbowe kwenye kesi ya kubumba ya Jinai. Waliezea namna walivyopelekwa Karakana iliyopo kituo cha Polisi TAZARA na kule Mbweni ambapo walikuwa wanateswa mfululizo.

Vile vile kumekuwepo na malalamiko ya watuhumiwa wengi wanaotoa ushahidi mahakamani dhidi ya hati za viapo za kukubali makosa zinazosainiwa vituo vya polisi kuwa wanateswa sana ili wakubali kusaini maelezo yaliyoandaliwa na maafisa polisi wanaoendesha mahojiano.

Pia kuna wakati, vifo vimekuwa vinatokea kupitia mahojiano haya na hakuna hatua wala maelezo ya ziada yanayotolewa kujibu tuhuma hizi za unyama na ukatili ndani ya vituo vya polisi.

Wanasheria hususan (TlS) watusaidie kutufafanulia kama mateso kwa watuhumiwa ni sehemu ya utendaji wa kisheria.

Kitu cha kushangaza ni kwamba, tunayo TUME YA HAKI ZA BINADAMU ambayo haijawahi kuzungumzia wala kutoa taarifa katika ripoti yao kuhusu uwepo wa Karakana au Gereji za binadamu ndani ya vituo vya polisi.

Mbowe anaposema SAMIA MUST GO ndilo suluhisho pekee la kustawisha utawala unaozingatia haki za binadamu na demokrasia nchini.

Tuzungumze kwa uwazi, Je hizi Karakana ama Gereji ni jinakivuli la vitengo vya utesaji na mauaji yanayoendeshwa na serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake na wapinzani nchini?

CC:
Pascal Mayalla Mdude_Nyagali Erythrocyte Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Haki Amani SAGAI GALGANO Gwappo Mwakatobe Mnyika Mwabukusi Maxence Melo
Mkuu kwa lugha sahihi hizo ni toture chambers. Ni ajabu na aibu sana kwa nchi yetu kuwa na sehemu hizo. Idi Amin dada alishutumiwa sana, Tanzania ikiwemo kuwa alikuwa na vyumba vya kutesa watu kwenye vituo vyake vya usalama, yaani watu wanateswa kuliko enzi za Miungereza. Muda ufike sasa serekali ichukue hatua ya kuachana na mambo hayayasiyokuwa ya ustaarabu.
 
Serikali hii haisikii wala kuambiwa.

Dawa ni kuiondoa na kuwapa wengine wenye uthubutu na nia njema kwa wananchi
 
Mkuu Msanii haya mambo tutaenda mbele tutarudi nyuma ila tusipojua chanzo na kujisahihisha tutabaki pale pale.

Katiba hii hii mbovu inayompa uungu rais aliiasisi Nyerere, watanzania kutokuwa watu wa kuhoji alitengeneza Nyerere ndio maana waliompinga waliishia kupotezwa.

Ukirejea kitabu cha Ludovick Mwijage cha " The dark side of Julius Nyerere's legacy"

Nanukuu katika moja ya kurasa aliandika " I was at the Notorious Oysterbay detention camp otherwise known in opposition circles as " Gestapo Headquaters" . It was here that my ordeal of being held incommunicado for 478 days began .

Ukisoma hayo maelezo unajiuliza mambo yaliyofanyika 1981 ni miaka 43 sasa bado yanaendelea!

Yaani ile camp bado ipo, chama kile kile kipo madarakani, katiba ni ile ile , nguvu za rais ni zile zile[anaweza kufanya chochote bila kushtakiwa akiwa au ametoka madarakani] , pia uvunjaji wa katiba ni ule ule.

Ludovick alishikiwa incommunicado kwa siku 478 na hakufikishwa mahakamani kusomewa mashtaka yake , hakupewa haki ya kupata mwanasheria wala kujitetea .

Leo hii Deusdedith Soka kapotea tangu August 18 hajulikani alipo , yuko hai au kauwawa yapata mwezi sasa, ni zama za TEHAMA walau hata tunasikia sauti zinapazwa.

Je Ludovick aliyeshikiliwa siku 478 bila watu kujua si pengine familia yake walijua alishakufa siku nyingi kutokana na zama zile teknolojia kuwa ndogo katika kupashana habari.

Je tukianza kufukua yaliyofanyika na watu wapewe haki zao walioonewa taswira ya Nyerere itabaki vile vile?

Nashawishika kuamini zama zile walipotea wengi kuliko sasa ila habari hazikusambaa.

Je tumepiga hatua mbele au tumerudi nyuma katika utendaji haki ?
 
Mkuu
Umeelezea kwa kina hii situation. Nikiangalia hapo kwenye maandishi naona wazi kuna connection ya UwT na hizi detention units.

Kuna moja pale kituo cha daladala Stesheni, ni eneo ambalo wanaoingia na kutoka ni top secret.

Hata mtu anyeenda kuteswa pale anaweza kutolewa Central akapelekwa Morogoro kisha akafunikwa macho akarejeshwa pale. Wakishamkarabati korodani wanadecide aishi ama afe kisha utaratibu unatekelezwa
 
Mkuu wakati mwingine nikiwafikiria hawa maaskofu wetu (katoliki) najikuta njiapanda kwenye imani. Eti wanaanzisha na kuratibu mchakato kumfanya Nyerere mtakatifu. Hawa wangekuwepo enzi ya Yesu hawangeelewana kabisa.
 
Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini.

Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua.

Ameendelea kusema hapa chini👇👇

Nawarejesha nyuma kidogo kwenye utetezi wa wale Makomando walioshtakiwa sambamba na Mbowe kwenye kesi ya kubumba ya Jinai. Waliezea namna walivyopelekwa Karakana iliyopo kituo cha Polisi TAZARA na kule Mbweni ambapo walikuwa wanateswa mfululizo.

Vile vile kumekuwepo na malalamiko ya watuhumiwa wengi wanaotoa ushahidi mahakamani dhidi ya hati za viapo za kukubali makosa zinazosainiwa vituo vya polisi kuwa wanateswa sana ili wakubali kusaini maelezo yaliyoandaliwa na maafisa polisi wanaoendesha mahojiano.

Pia kuna wakati, vifo vimekuwa vinatokea kupitia mahojiano haya na hakuna hatua wala maelezo ya ziada yanayotolewa kujibu tuhuma hizi za unyama na ukatili ndani ya vituo vya polisi.

Wanasheria hususan (TlS) watusaidie kutufafanulia kama mateso kwa watuhumiwa ni sehemu ya utendaji wa kisheria.

Kitu cha kushangaza ni kwamba, tunayo TUME YA HAKI ZA BINADAMU ambayo haijawahi kuzungumzia wala kutoa taarifa katika ripoti yao kuhusu uwepo wa Karakana au Gereji za binadamu ndani ya vituo vya polisi.

Mbowe anaposema SAMIA MUST GO ndilo suluhisho pekee la kustawisha utawala unaozingatia haki za binadamu na demokrasia nchini.

Tuzungumze kwa uwazi, Je hizi Karakana ama Gereji ni jinakivuli la vitengo vya utesaji na mauaji yanayoendeshwa na serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake na wapinzani nchini?

CC:
Pascal Mayalla Mdude_Nyagali Erythrocyte Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Haki Amani SAGAI GALGANO Gwappo Mwakatobe Mnyika Mwabukusi Maxence Melo
Vinne vya kuanzia iwe Obey,central,Tazara na chang'ombe.
 
Ila kwa hii kama kweli na ikijulikana itachunguza kimataifa, huu ni ukatili mkubwa kutokea kama ule wa kuondoa watu; na Rais anaweza kuhukumiwa na mahakama ya kimataifa. Hii ni very very very serious. Karakana za kutesa watu Tanzania; yaani ni unyama mkubwa kutokea
 
Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini.

Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua.

Ameendelea kusema hapa chini👇👇

Nawarejesha nyuma kidogo kwenye utetezi wa wale Makomando walioshtakiwa sambamba na Mbowe kwenye kesi ya kubumba ya Jinai. Waliezea namna walivyopelekwa Karakana iliyopo kituo cha Polisi TAZARA na kule Mbweni ambapo walikuwa wanateswa mfululizo.

Vile vile kumekuwepo na malalamiko ya watuhumiwa wengi wanaotoa ushahidi mahakamani dhidi ya hati za viapo za kukubali makosa zinazosainiwa vituo vya polisi kuwa wanateswa sana ili wakubali kusaini maelezo yaliyoandaliwa na maafisa polisi wanaoendesha mahojiano.

Pia kuna wakati, vifo vimekuwa vinatokea kupitia mahojiano haya na hakuna hatua wala maelezo ya ziada yanayotolewa kujibu tuhuma hizi za unyama na ukatili ndani ya vituo vya polisi.

Wanasheria hususan (TlS) watusaidie kutufafanulia kama mateso kwa watuhumiwa ni sehemu ya utendaji wa kisheria.

Kitu cha kushangaza ni kwamba, tunayo TUME YA HAKI ZA BINADAMU ambayo haijawahi kuzungumzia wala kutoa taarifa katika ripoti yao kuhusu uwepo wa Karakana au Gereji za binadamu ndani ya vituo vya polisi.

Mbowe anaposema SAMIA MUST GO ndilo suluhisho pekee la kustawisha utawala unaozingatia haki za binadamu na demokrasia nchini.

Tuzungumze kwa uwazi, Je hizi Karakana ama Gereji ni jinakivuli la vitengo vya utesaji na mauaji yanayoendeshwa na serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake na wapinzani nchini?

CC:
Pascal Mayalla Mdude_Nyagali Erythrocyte Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Haki Amani SAGAI GALGANO Gwappo Mwakatobe Mnyika Mwabukusi Maxence Melo
Tuzungumze kwa uwazi, Je hizi Karakana ama Gereji ni jinakivuli la vitengo vya utesaji na mauaji yanayoendeshwa na serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake na wapinzani nchini?📌🔨
 
Mkuu wakati mwingine nikiwafikiria hawa maaskofu wetu (katoliki) najikuta njiapanda kwenye imani. Eti wanaanzisha na kuratibu mchakato kumfanya Nyerere mtakatifu. Hawa wangekuwepo enzi ya Yesu hawangeelewana kabisa.
Hapo basi watakua waliamua kufunika kombe wakamuangalia Nyerere katika upande mmoja wa shilingi.
 
Mkuu
Umeelezea kwa kina hii situation. Nikiangalia hapo kwenye maandishi naona wazi kuna connection ya UwT na hizi detention units.

Kuna moja pale kituo cha daladala Stesheni, ni eneo ambalo wanaoingia na kutoka ni top secret.

Hata mtu anyeenda kuteswa pale anaweza kutolewa Central akapelekwa Morogoro kisha akafunikwa macho akarejeshwa pale. Wakishamkarabati korodani wanadecide aishi ama afe kisha utaratibu unatekelezwa
Sawa sawa kabisa na hizo detention camps ni za miaka mingi hazijaanza leo tangu awamu ya kwanza.
 
Tuzungumze kwa uwazi, Je hizi Karakana ama Gereji ni jinakivuli la vitengo vya utesaji na mauaji yanayoendeshwa na serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake na wapinzani nchini?📌🔨
Na mateso na mauaji yanayoendelea humo ni katika jitihada za kukilinda CCM, Chama cha kiimla! Kwa hakika inashangaza, inasikitisha na inakasirisha.

Hata GESTAPO ya chama cha NAZI, iliyoitawala Ujerumani chini ya kiongozi wake mkuu Dikteta Adolph Hitler, ilikuwa ina ufadhali kuliko hawa wa kwetu.
 
Back
Top Bottom