Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Menejimenti imechanganyikiwa
Rais wa heshima kachanganyikiwa
Benchi la ufundi limechanganyikiwa
Wachezaji wamechanganyikiwa
Wanachama wamechanganyikiwa
Mashabiki wamechanganyikiwa
Wachambuzi wamechanganyikiwa
Mpaka majirani wamechanganyikiwa

20231107_124736.jpg
 
Menejimenti imechanganyikiwa
Rais wa heshima kachanganyikiwa
Benchi la ufundi limechanganyikiwa
Wachezaji wamechanganyikiwa
Wanachama wamechanganyikiwa
Mashabiki wamechanganyikiwa
Wachambuzi wamechanganyikiwa
Mpaka majirani wamechanganyikiwaView attachment 2807040
acha ufala wewe.kwani simba hajawahi kumkojoza yanga 5 bila.tena bora simba walipata kagoli kamoja kuliko yaliyotokea 2012
 
Wanatakiwa waishukuru Yanga kwa kuwaonesha ubovu wao maana wangeenda kutia aibu Kimataifa. Simba ni mbovu kitambo tu. Yanga ndio wameishtua.
 
Ndio mtani..tena kumbe ndo mkali wa hizo kazi...
Kuna moja niliishia kati ilikua inaitwa Salem ilikua ina uchawi hatari...
Salem kalii sanaa mtani wangu mie napenda sana movie na series nikizikosa natamani kulia kabisa 😁😂🤣
 
Back
Top Bottom