Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Na mm nilikua ni mlevi kabisa sema majukumu ya familia yamenipunguzia muda wa kumuvika....Salem kalii sanaa mtani wangu mie napenda sana movie na series nikizikosa natamani kulia kabisa 😁😂🤣
Unaikumbuka "the legend of the seeker"?
Kina mother confessor