Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
π€£π€£π€£π€£Dah kweli nyie hamnazo..Sasa Kibu mnamuwekaje hapo..mkandaji wenu... π€£ π€£ π€£ πΈ πΈ πΈ
Mngeweka yenu tuu...
Mtani.. Charles kilian
acha ufala wewe.kwani simba hajawahi kumkojoza yanga 5 bila.tena bora simba walipata kagoli kamoja kuliko yaliyotokea 2012Menejimenti imechanganyikiwa
Rais wa heshima kachanganyikiwa
Benchi la ufundi limechanganyikiwa
Wachezaji wamechanganyikiwa
Wanachama wamechanganyikiwa
Mashabiki wamechanganyikiwa
Wachambuzi wamechanganyikiwa
Mpaka majirani wamechanganyikiwaView attachment 2807040
huyu anatakiwa atuletee habari zaa series kaliii. the continental inaendelea lini jombiiLete movies na series wewe acha ubabaishaji mkuuπ¬π¬
Mjomba The continental imeisha ilee ina episode 3 kaliihuyu anatakiwa atuletee habari zaa series kaliii. the continental inaendelea lini jombii
dah haiwezi kusha kizembe vile asee. li sreies litamu sana hiliMjomba The continental imeisha ilee ina episode 3 kalii
Lete movies na series wewe acha ubabaishaji mkuuπ¬π¬
Unazingua kaka imeishia pale si umeona Winston kashachukua hoteli ile akiwa ameshirikiana na makachero wenzake aka madon wa umafiadah haiwezi kusha kizembe vile asee. li sreies litamu sana hili
ina uchawi mwingi sana hiiView attachment 2807099
Mkuu itafute hii
Nimeipenda hii jeziMenejimenti imechanganyikiwa
Rais wa heshima kachanganyikiwa
Benchi la ufundi limechanganyikiwa
Wachezaji wamechanganyikiwa
Wanachama wamechanganyikiwa
Mashabiki wamechanganyikiwa
Wachambuzi wamechanganyikiwa
Mpaka majirani wamechanganyikiwaView attachment 2807040
Nimeipenda hii jeziMenejimenti imechanganyikiwa
Rais wa heshima kachanganyikiwa
Benchi la ufundi limechanganyikiwa
Wachezaji wamechanganyikiwa
Wanachama wamechanganyikiwa
Mashabiki wamechanganyikiwa
Wachambuzi wamechanganyikiwa
Mpaka majirani wamechanganyikiwaView attachment 2807040
Kabisa kalii sana hii natizamaga usiku sana nikiwa nimelewa konyagi yanguina uchawi mwingi sana hii
Tusimuweke Kibu, kwani goli tumejifunga mtani? π πDah kweli nyie hamnazo..Sasa Kibu mnamuwekaje hapo..mkandaji wenu... π€£ π€£ π€£ πΈ πΈ πΈ
Mngeweka yenu tuu...
Mtani.. Charles kilian
Salem kalii sanaa mtani wangu mie napenda sana movie na series nikizikosa natamani kulia kabisa πππ€£Ndio mtani..tena kumbe ndo mkali wa hizo kazi...
Kuna moja niliishia kati ilikua inaitwa Salem ilikua ina uchawi hatari...