Wanawake wakatili sana na lait kama wakijua unampenda na wakakupa maji ya kuoshea nanaliiu ukayanywa kwenye juicy,lazma uvurugwe kama huyo..tumsamehe.shida ni mazoea
Sio kweli...unasema RUGE alikuwa anatombesha mbele ya zamaradi..means Zamaradi ni BOXA ya RUGE au kwamba kila anapoenda RUGE na ZAMARADI yupo...? au ni utamaduni gani wa MWANAMKE kushindana KUGEGEDWA na MWANAUME?siku zote ifahamike kuwa mwanaume aliyekutolea posa ni nusu mume tayari....na pia suala la ZAMARADI kuolewa kama lingeanza kuzungumziwa kwenye family wala RUGE asingetoa machozi...ninavyojuwa mm barua ya posa haipokelewi hadi mtoa posa wa mwanzo aulizwe mipango yake na mke mtarajiwa....je Ruge aliitwa? akaambiwa kuna mtu anataka kuoa? na kama aliitwa alipewa nafasi gani? huyo zamaradi ni KAHUNI HAKO kabaonyesha dhahihi Ukiangalia KADOMO KAKE..NI KAHUNI HAKO....kamenogewa na hyo MESSION TOWN...Analeta visingizio......atajutia maamuzi yake..kuna siku tutashuhudia anadai matunzo ya watoto wake humu...na majuto mengine mengi tu...au aliposikia huyo mesdion town ni family ya MAJAALIWA ndy imemchanganya?Heshima ya kutembea na wanawake wengine mbele ya macho yake????! Heshima ya kumdharau kisa kampangia nyumba????!!! Heshima ipi labda au ya kumlipia posa kitaaambo then akawa hataki kuoa mpk amesikia kua mwenzie anaolewa ....heshima ya ruge kwa zama ilikaa mfuko gani wa suruwal kwa mfano tu???;!!!
Ifike kipindi wanaume mtambue kwamba shida ya mwanamke sio pesa magari na majumba tu....mwanamke anahitaji kuheshimiwa kujaliwa na kuthaminiwa. .....sasa thaman ya zama ilikua wapi kwa ruge ....wakati ruge kutwa kukitombesha kwa wafanyakazi wake tena zama akishuhudia......
Binafsi nasema zama hana kosa na alijitahid kumvumilia yule kitombi ila uvumilivu una mwisho na mwisho ndo kama huo aloufanya zama
KARMA ...I BELIEVE IN IT.Na Kesi itakuwa ameibiwa maku na mke wake wa watoto wawili.. Haaa.. Ruge kachezea wanawake sana sanaaa hata huyo Zamaradi kamtesa sana sana maana Ruge anazaa nje hovyo hovyo, watoto kibaooo Zamaradi alikuwa anamvumilia tu, anafanya ufuska na wasanii kibaoo, wanawake Clouds kagonga sana, SASA NI ZAMU YAKE..
UKIFANYA MABAYA, NATURE HUKULIPA MABAYA YA AINA ILE ILE HAPA HAPA DUNIANI, NI SWALA LA MUDA TU
Wewe ndo umewambia ukweli sasa..Wala sio mbunye,ingekuwa mbunye angekuwa hatombi nje.Sema Zama ni wife material,Zama ni mwanamke wa kujenga nae familia.
Wewe hizi habari hauzijui na humjui ruge tulia....kwanza aliyekudanganya zamaradi hawezi kuwalea wale watoto ni nani.....kaa ujue zamaradi ni mfanyabiashara na biashara zake zinaweza kumwendeshea maisha yake bila kutetereka..........narudia wanaume msifikiri mkiwapa wanawake pesa majumba sijui magari ndiyo muone mmemaliza kazi muanze kufanya mtakacho eti kisa sijui pesa upupu gani binafsi heri niwe na mtu ambae hana hata mkeka wa kulalia kuliko kua na mtu kama ruge au kua na mwenye pesa ambae ananipa stress kwa tabia zake chafuSio kweli...unasema RUGE alikuwa anatombesha mbele ya zamaradi..means Zamaradi ni BOXA ya RUGE au kwamba kila anapoenda RUGE na ZAMARADI yupo...? au ni utamaduni gani wa MWANAMKE kushindana KUGEGEDWA na MWANAUME?siku zote ifahamike kuwa mwanaume aliyekutolea posa ni nusu mume tayari....na pia suala la ZAMARADI kuolewa kama lingeanza kuzungumziwa kwenye family wala RUGE asingetoa machozi...ninavyojuwa mm barua ya posa haipokelewi hadi mtoa posa wa mwanzo aulizwe mipango yake na mke mtarajiwa....je Ruge aliitwa? akaambiwa kuna mtu anataka kuoa? na kama aliitwa alipewa nafasi gani? huyo zamaradi ni KAHUNI HAKO kabaonyesha dhahihi Ukiangalia KADOMO KAKE..NI KAHUNI HAKO....kamenogewa na hyo MESSION TOWN...Analeta visingizio......atajutia maamuzi yake..kuna siku tutashuhudia anadai matunzo ya watoto wake humu...na majuto mengine mengi tu...au aliposikia huyo mesdion town ni family ya MAJAALIWA ndy imemchanganya?
You nailed it kabisa.Hili suala ni fundisho tosha kwetu sisi wanaume,,hili kwnza linafundisha UAMINIFU ,,ina maana ZAMARADI hakuwa muaminifu kwenye mahusiano yao tangia mwanzo...Alichokuwa kinamliza RUGE NI FEDHEHA,,na UCHUNGU WA KUSALITIWA lakini PENGINE HATA hakuwa na MAPENZI yeyote kwa EX WAKE HUYO....nina maana kuwa hakuna kitu kinauma ktk mapenzi kama USALITI,,na siku zote mwanaume hawezi kutangaza ndoa kwa mwanamke , ,kama hakuwa na uhusiano na mwanamke kimapenzi,,inaonekana wazi HUYO DUME alikuwa AKIMTAFUNA HUYO ZAMARADI siku nyingi wakati bado yupo na RUGE,,,hivyo RUGE akifikiria yote hayo , anajiona ni MDHAIFU KWA KUPOKWA MWANAMKE,,,HICHO NDY KINACHOMLIZA RUGE, FEDHEHA, NA UCHUNGU WA KUSALITIWA NA MWANAMKE,,,means anakumbuka kumbe huyu ZAMARADI hakuwa mwaminifu kwangu...na siku zote KTK MAPENZI atakayewahi KUMWACHA MWENZIE ndy atakayekuwa na FARAJA kwa wakati ule....lakini mwisho wa siku yule aliyemwacha mwenzie ndy atakaye kuja kujuta.......kama mpenzi wako umemwacha bila kosa lolote na ukamfanya ATOKE MACHOZI KIASI HICHO..basi ..mwisho wa siku UTAKUJA KUJUTIA..hii ni PROVED 100%...lakini kama RUGE ndy aliyekuwa hataki ndoa na hakuwa na mapenzi ya kweli kwa zamaradi ,,, basi kilio chake ni kelele za chura tu KISIMANI
Mimi naongea kwa EXPERIENCE kubwa sana ya mahusiano....mara nyingi sn watu wanapoachana MWANAMKE ANAKUWA ANATAMBA kwamba ana uwezo...ana bwana mwenye uwezo wa kumjali na kumtunza..mwisho wa siku huyo mwanamke hujuta..na hayo ndy MANENO YENU ya kila siku kwamba MNATAKA mwanaune CARED hata kama hana kitu..sio PESA...huo ni uongo wa hali ya juu...tuulizeni sisi tulioko kwenye NDOA...anakwambiya tutaishi hata kama tutakula MCHANGA..sasa oa uone moto wake..kama atakubali shida zako...kwnz DUNIA YA LEO..ni ngumu mno kuishi na mwanamke mwenye kuzaa na DUME LINGINE tena watoto 2...elewa kabisa kuwa huyo KIJANA ata share mapenzi na RUGE..hilo halikwepeki...wanawake ni EASY KUKASIRIKA na EASY KUSAHAU...mambo yakitulia huyo zamaradi atalipeleka tu BUMUNDA kwa RUGE...ndy hapo atakapoanza majutoWewe hizi habari hauzijui na humjui ruge tulia....kwanza aliyekudanganya zamaradi hawezi kuwalea wale watoto ni nani.....kaa ujue zamaradi ni mfanyabiashara na biashara zake zinaweza kumwendeshea maisha yake bila kutetereka..........narudia wanaume msifikiri mkiwapa wanawake pesa majumba sijui magari ndiyo muone mmemaliza kazi muanze kufanya mtakacho eti kisa sijui pesa upupu gani binafsi heri niwe na mtu ambae hana hata mkeka wa kulalia kuliko kua na mtu kama ruge au kua na mwenye pesa ambae ananipa stress kwa tabia zake chafu
Hizi unazoleta wewe ni ramli........anyway amini unachokiaminiMimi naongea kwa EXPERIENCE kubwa sana ya mahusiano....mara nyingi sn watu wanapoachana MWANAMKE ANAKUWA ANATAMBA kwamba ana uwezo...ana bwana mwenye uwezo wa kumjali na kumtunza..mwisho wa siku huyo mwanamke hujuta..na hayo ndy MANENO YENU ya kila siku kwamba MNATAKA mwanaune CARED hata kama hana kitu..sio PESA...huo ni uongo wa hali ya juu...tuulizeni sisi tulioko kwenye NDOA...anakwambiya tutaishi hata kama tutakula MCHANGA..sasa oa uone moto wake..kama atakubali shida zako...kwnz DUNIA YA LEO..ni ngumu mno kuishi na mwanamke mwenye kuzaa na DUME LINGINE tena watoto 2...elewa kabisa kuwa huyo KIJANA ata share mapenzi na RUGE..hilo halikwepeki...wanawake ni EASY KUKASIRIKA na EASY KUSAHAU...mambo yakitulia huyo zamaradi atalipeleka tu BUMUNDA kwa RUGE...ndy hapo atakapoanza majuto
mapenzi yana nguvu kuliko breakdownMapenzi jaman yaachen tuu
Ondoa hofu celebrities wetu wengi waishi sana insta huku wametuachia wachache.ruge piga wakina Nandy wale ,wacha kulia lia
sorry Nandy kama utaona ujumbe huu[emoji3]
Ondoa hofu celebrities wetu wengi waishi sana insta huku wametuachia wachache.
Apige mara ngapi?...mbona ndio goma lake la kila siku.ruge piga wakina Nandy wale ,wacha kulia lia
sorry Nandy kama utaona ujumbe huu[emoji3]
ohooooApige mara ngapi?...mbona ndio goma lake la kila siku.
haka ka ruge nako mpaka leo hakajaoa kanaishia kulizwa na vianamke vyeusi vibaya...arghhhhhhh...huyu muhaya wa hovyo kweli.
ukipata naomba na mie unitagi kama sio kuisukuma kwanguHebu naomba namie audio nisikie