Hili suala ni fundisho tosha kwetu sisi wanaume,,hili kwnza linafundisha UAMINIFU ,,ina maana ZAMARADI hakuwa muaminifu kwenye mahusiano yao tangia mwanzo...Alichokuwa kinamliza RUGE NI FEDHEHA,,na UCHUNGU WA KUSALITIWA lakini PENGINE HATA hakuwa na MAPENZI yeyote kwa EX WAKE HUYO....nina maana kuwa hakuna kitu kinauma ktk mapenzi kama USALITI,,na siku zote mwanaume hawezi kutangaza ndoa kwa mwanamke , ,kama hakuwa na uhusiano na mwanamke kimapenzi,,inaonekana wazi HUYO DUME alikuwa AKIMTAFUNA HUYO ZAMARADI siku nyingi wakati bado yupo na RUGE,,,hivyo RUGE akifikiria yote hayo , anajiona ni MDHAIFU KWA KUPOKWA MWANAMKE,,,HICHO NDY KINACHOMLIZA RUGE, FEDHEHA, NA UCHUNGU WA KUSALITIWA NA MWANAMKE,,,means anakumbuka kumbe huyu ZAMARADI hakuwa mwaminifu kwangu...na siku zote KTK MAPENZI atakayewahi KUMWACHA MWENZIE ndy atakayekuwa na FARAJA kwa wakati ule....lakini mwisho wa siku yule aliyemwacha mwenzie ndy atakaye kuja kujuta.......kama mpenzi wako umemwacha bila kosa lolote na ukamfanya ATOKE MACHOZI KIASI HICHO..basi ..mwisho wa siku UTAKUJA KUJUTIA..hii ni PROVED 100%...lakini kama RUGE ndy aliyekuwa hataki ndoa na hakuwa na mapenzi ya kweli kwa zamaradi ,,, basi kilio chake ni kelele za chura tu KISIMANI