Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

ha ha ha ha ha ha ha jamaa anajua ku fake huyu ha ha ha ruge alivyo na mbunye nyingi hivi mjini da nimecheka sana
 
na mwanamke mpaka anaamua kutoka nje ujue ndani kumeshindikana.....
 
Nakubaliana na ww kuwa Ruge ni mtu mwenye nguvu na watu tuko tofauti, mm mwanamke tukiachana leo baada ya siku mbili namsahau. Naendelea na maisha yangu
Zaa na mwanamke watt wawili afu aolewe na bwana mwingine ndo urudi hp
 
wanawake wembamba acha tu huyo ana K tight kama tigo.....mwacheni jamaa alie tu
 
Huyo jamaa alikuwa anambandua hata kabla yupo na ruge.. sisi wanaume hatuwezi kuoa kabla hatuja gegeda... ukitaka kujua tabia za mkeo angalia marafiki zake tu...
Na tabia za Ruge kwendenii zenyuuuu
 
Kuna watu hawaelewi hiki kitu ...kuna wife material japo unamichepuko....watu wengi tunachepuka ...ila wife akizingua ndani na kutaka kusepa siyo kutoa kamasi kama za ruge ....unajiharishia kabisaaa
Kumbe!!!
 
Duuuh kwa mbunye zilivyokua nyingi unalia,huyo mlangira atakua boya watu wanaachana watoto 7 hawalii sembuse yeye wawili tena wa hawara
Mbunye zinafanana kwa majina tu
lkn namna yakuzitumia zinatofautiana......kwani Mchele wa KYELA na IFAKARA wote sini Mchele? Kwanini test inakuwa tofauti
 
Hahahahah. Nimecheka sana. Huyo mwanamke alikuwa anampa nini ambacho hawezi kupata kwingine mpaka atoe kilio chote hicho?
Usione watu wanapita Mchana wakiwa wamevaa Nguo na ndio maana Ngono inapigwa sirini maana ukiwakuta watu wanafanya yao huko Kitandani acha kabisa
 
Labda analia kwa sababu ya Watoto wake na Upendo wake kwa hao watoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…