Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

..aibu sana....mbona chupi tamu ziko nyingi siku hizi!!...unalialia nini bana mademu watamu wamejaa mjini... Wala hutongozi....unalilia mwanamke Mzee...
Zitakuwepo ila hazitafanana na yahuyo anaemlilia
kwa Title aliyonaoyo huyo
Jamaa naamini kawakanyaga wengi jiulize Kwanini anamlilia huyo
Acha tu ndugu yangu kwenye zile mechi watu wanaotoaga ufahamu
wanajiachaaa ukitoka kwenye
Game kila ukikumbuka unaishia kutabasam tu!
 
SASA RUGE NAYE KIMEO, HV UNAMLILIAJE MWANAMKE ULIYEMZALISHA MARA MBILI??

NINA WASIWASI RUGE KAYAJUA MAPENZ UKUBWANI, WANAWAKE WOTE HAWA? HALAFU MBNA DEMU MWENYEWE WA KAWAIDA TU.
 
SASA RUGE NAYE KIMEO, HV UNAMLILIAJE MWANAMKE ULIYEMZALISHA MARA MBILI??

NINA WASIWASI RUGE KAYAJUA MAPENZ UKUBWANI, WANAWAKE WOTE HAWA? HALAFU MBNA DEMU MWENYEWE WA KAWAIDA TU.
wa kawaida kwako mkuu, ila yeye anaujua umuhmu wa yule mwanamke
 
Hasa mwanamke unayemwita mama na shangazi na mama wadogo siyo?
Mwanamke ni mwanamke tu, wengi wanashabihiana tabia au matendo yao haijalishi kama ni ndugu zetu wa karibu awe mama au dada, kinachotokea ni kwamba baba zetu na ndugu wakubwa wanaojua tabia zao zisizo njema hawatuambii ukweli ili tuendelee kuwaheshimu. Na huo ndio uungwana na uanaume kutomwambia mtoto wako kwamba mama yako alikuwa au anafanya jambo fulani la aibu au kikatili. Usidhani mama zetu ni watakatifu, siri wanazo baba, wajomba na babu zetu. Kinachotakiwa ni kuwaheshimu tu kwa maana wametuzaa na wametulea na dini zina agiza tuwaheshimu. Pia juu ya yote sisi hatujui mabaya yao hivyo hatuna sababu ya kuwahukumu au kuwachukia. Note: Sio wanawake wote wanatabia za huyo mdada alietajwa.
 
Kuna watu hawaelewi hiki kitu ...kuna wife material japo unamichepuko....watu wengi tunachepuka ...ila wife akizingua ndani na kutaka kusepa siyo kutoa kamasi kama za ruge ....unajiharishia kabisaaa
Hahahahahah kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom