Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

Ruge ana zaidi ya mwanamke mmoja,hoja yako haina mashiko...tumemfuma analliaaa
Kuna tofauti kubwa sana kati ya 'Mke' na 'Hawara' (Mchepuko). Ruge alikuwa na zaidi ya mwanamke mmoja sawa. Je hao wanawake walikuwa wake zake au michepuko yake?

Narudia kauli yangu...
Mke Mmoja Anadumaza Akili.
 
Amini.., Amini nawaambieni bado nazidi kusimamia na kuiamini ile kauli kwamba ' Mke Mmoja Hudumaza Akili'

Mzee wangu aliwahi kuniambia mwanangu mke mmoja nuksi na atakupumbaza. 'Mke Mmoja Anadumaza Akili' mwanangu chonde chonde.

Binafsi mzee wangu alikuwa na wake zake watatu (Mke mkubwa, Mke wa pili na Mke wa tatu ambaye ni mama' angu mimi) na wote alikuwa anawapiga pumbu fresh kila mtu anasuuzika na kuridhika kiroho saaaaafi

Yaani kwa jinsi alivyokuwa anawapiga pumbu ilifika mahala hadi mke mkubwa + mke mdogo ambaye ni maza wakamshauri mzee aongeze mke mwingine tena manaake waliona sio vizuri wao watatu tu ndio waendelee kufaidi hiyo mashine na ukizingatia siku zote kizuri kula na mwenzio.

Narudia tena Mke Mmoja Anadumaza Akili.

Pumbu wapi wakati huyo unayemwita dingi alikuwa anasidiwa na mzee kipara wa pale jirani na wewe ndio mtoto wa mzee kipara?
Sema huyo dingi yako mlezi alikuwa na kifua hakukueleza haya. kuchapiwa siri ya ndani😀😀😀
 
kwa akili ya kupiga pumbu au? ha ha haha samahai mkuu
Akili za kulialia kama huyu mwanaume mwenzetu bahati mbaya keshakuwa mwanaume wa dar ndio maana analia.

Angekuwa na wake watatu au wanne unadhani angelia?

Mke Mmoja Anadumaza Akili..
 
Pumbu wapi wakati huyo unayemwita dingi alikuwa anasidiwa na mzee kipara wa pale jirani na wewe ndio mtoto wa mzee kipara?
Sema huyo dingi yako mlezi alikuwa na kifua hakukueleza haya. kuchapiwa siri ya ndani😀😀😀
Mkuu mzee wangu show hakuwa anasaidiwa
Tena hadi kwenye milima alikuwa anasimamia hakuna kuteremka kama kwenye baiskeli vile.
 
Mkuu mzee wangu show hakuwa anasaidiwa
Tena hadi kwenye milima alikuwa anasimamia hakuna kuteremka kama kwenye baiskeli vile.

Ulikuwa unamchungulia ? au maza yako ndio alikuwa anakuhadithia?
Au kuna demu wako aliwahi gongwa na mzee wako akakupa ushuhuda?
 
Zamaradi naye hajatulia. Inakuaje mke wa mtu unaongea na bwana wako wa zamani na unapromise kuwa alale "kesho nitakuja tuzungumze"? Unakwenda kuzungumza naye nini wakati umeshaamua kuolewa na mwingine? Utaomba ruhusa kwa mumeo au unakwenda kimyakimya? Huyo dogo aliyemwoa huyu dada ajiongeze mapema la sivyo akubali kugongewa na akina Ruge kila uchao.

Lazima ni ya kabla ya ndoa aliiweka aje atafute kiki kwa mzazi mwenzie
 
Ndo maana nilishasema siez kuoa mwanamke masikini....Zamaradi alkua hampendi Ruge bali alitaka mali.Mwanamke anaeza kuzaa na wewe lakini asikupende.Ona sasa hii njemba itakua ilkiua inamla kisilisili.Amepata mtaji wa duka la nguo za watoto sasa amekimbia...Shenz type
 
Hapo ndio unagundua HAMNA UHURU WA HABARI, bali UHURU WA MWENYE MITAMBO NA MWENYE MALI, Soudybrown na Shilawadu yake wote kimya
 
Hii ndo ile you gonna miss me when am gone[emoji23][emoji23][emoji23] apambane na hali yake wala asilie
 
Sometimes ujinga mzigo sasa ndio nini kwani wangemalizana wenyewe si ingekuwa poa,unamrekodi halafu unatupia kwenye mitandao ndio uonekane mjanja Sana nilikuwa namuona ni mtu WA maana kumbe hovyo kabisa
 
Hah hah juzi tu hapa Ruge katoka kusema katika dunia anaogopa vitu viwili tu,Mungu na teknolojia
 
Duh! Chezeya penzi weye! Sasa kama alikuwa anampenda kiasi hiki kwanini hakumuoa hasa ukitilia maanani kwamba wana watoto wawili? Dah! Jamaa anatia huruma ile mbaya. Chelewa chelewa.......



Wakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss Ruge wa Clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpenzi wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji wa Cloud FM anayeitwa Zamaradi Mketema kuamua kuolewa na anayesemekana ni mtoto au mtu wa karibu na mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Je, anaweza kufungua shauri mahakamani akadai haki yake ya privacy kuingiliwa bila idhini yake. Wataalamu wa sheria mtusaidie.

My Take:
Nimeamini mapenzi yana nguvu, kwa jinsi jamaa alivyokuwa analia basi huyo dada anaonekana mtamu sana. Wanaume pia tuwe makini, tuache michepuko hawa wanawake wamekuwa makatili sana nowadays.

 
Back
Top Bottom