Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 520
Wewe ni mpumbavuChadema wakati janga la corona limeshika kasi walikua wananunua majeneza halafu usiku wanaenda makaburini kupiga picha kuwa kuna watu wengi sana wanakufa,wanazikwa usiku kwa kificho
Kweli wahuni wa ufipa hawa,si unawaona!Wahuni wa ufipa hao kwani nani hakumbuki matukio yenu ya kutengeneza mlizika mbwa bila aibu kutaka kuhalalisha upuuzi tu!
Matusi ya nini!
Jibu unalo!Kwahiyo mty akiwa anakuongelea wewe basi wewe upo moyoni mwake?
Unazungumziaje aliyenyofowa kipengele cha ukomo wa mwenyekiti!CCM inamilikiwa na jiwe 100% ndio maana hata kura za HAPANA kwenye mkutano mkuu zimebadilishwa mara moja kuwa 100% jiwe.
Hakika unasinzia!Ukitaka kujua ni ndimu, angalia mada yako ilikuwa ni ipi, na sasa unajadili nini. Huoni macho yamefumba na umehama kwenye reli?
Huna akili!Shemeji yako kakufukuza kwake leo lazima ulale stand
Nakuona hapo unavyo mtolea mimachoHuna akili!
Hiki ndicho kilichosababisha shemeji yako akutimue kwenye nyumba yake!Nakuona hapo unavyo mtolea mimachoView attachment 1504028
Hiki ndicho kilichosababisha shemeji yako akutimue kwenye nyumba yake!View attachment 1504032
Huyo dada akikujibu nitagSasa kama CCM ipo kwenye mioyo ya watu kwanini mnawatuma polisi wavuruge vikao vya ndani yavyama vya upinzani??
Mnaogopa nini hasa??
@Daudi Mchambuzi acha watu washerehekee mgombea wao kuchaguliwa kwa 100% na wajumbe wote.Sasa kama CCM ipo kwenye mioyo ya watu kwanini mnawatuma polisi wavuruge vikao vya ndani yavyama vya upinzani??
Mnaogopa nini hasa??
Hivi wewe huwa unajihesabu una akili kweli? Mbona uko hivyo? Au huo motochini ni kwenye mbunye yako? Basi haya!Hujitambui
Polisi wanatumwa wamekuwa majini!!
Labda wanatumwa kule kwenu kwa Mungiki
Aisee! Kweli Chatle kuna limbwata zaidi ya la Bagamoyo au Sumbawanga! Yaani mkalishwa matango hadi mmekolea!Chadema wakati janga la corona limeshika kasi walikua wananunua majeneza halafu usiku wanaenda makaburini kupiga picha kuwa kuna watu wengi sana wanakufa,wanazikwa usiku kwa kificho
Maneno ya ukakasi ndio hoja mlizobaki nazo!Hivi wewe huwa unajihesabu una akili kweli? Mbona uko hivyo? Au huo motochini ni kwenye mbunye yako? Basi haya!
Ulimuona yule mgogo wa Kongwa anataja 100% huku anatetemeka? Kuna MTU kaniambia Jiwe kajichanjia damu ya simba hivyo washirikina wote (CCM) wakiwa mbele yake wanatetemeka na mama Jeska anayeijua siri anacheeeeka!CCM inamilikiwa na jiwe 100% ndio maana hata kura za HAPANA kwenye mkutano mkuu zimebadilishwa mara moja kuwa 100% jiwe.
Mkuu bila kuwa na tume huru ya uchaguzi hatuwezi kuwa na moral justice ya kuliongelea hili. Mi nashauri tuwape wapinzani hiyo tume huru wanayoihitaji ili tuweze kutembea kifua mbele kwa furaha na kuliongea hili ulilolisema bila kupepesa macho.Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar
Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Tumejipanga mwaka huu wataisomaHuwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar
Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima