Uchaguzi 2020 Hakika Dkt. Magufuli haamini macho yake. Alifikiri A, imekuwa B!

Wewe ni 'mpuuzi' fulani ambaye unalipwa pesa kiduchu hapo Lumumba kulisha familia yako.
Pathetic!
Jibu hoja! ulipeleka wapi pesa ya mafao ya kuachishwa kazi na mafunzo ya ujasilia Mali mulipewa na ulikuwa underground miner kipi kimekushinda kwenda kuchimba au kufanya biashara nyingine mpaka umlaumu magufuli na je pale buzwagi ambapo Mali imeisha utamlaumu nani?.
 
Hahaaaaaa............ 😁 😛

Mzee wa Chato, kila akimuwazia Tundu Lissu, mapigo ya moyo ndiyo yanaongezeka maradufu!
Kweli kamanda!
Huwa anamuwazia sana kumpa kazi ndogondogo.
Nasikia wanabishana sana na Samia.
Dr anataka ampe ukurugenzi wa kiwanja cha ndege CHATO, wakati Samia anataka akabidhiwe kusimamima mbuga ya BURIGI.
 
illusion..... usiyempenda unamuona ana mapembe.... hata kama hana..

kila kitu unaona kinyume...

Magu 2020 to +infinity

Heil JPM
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi, Dr. Magufuli haamini kuona wananchi 'wakitamani' kumuondoa madarakani kwa kura zao Oktoba 28.

Pamoja na 'mikwara' yake kwa makada wa CCM walioachwa pembeni wakati wa kura za maoni kuwa ni LAZIMA wawaunge mkono wagombea waliopitishwa na CCM yetu, Dr. Magufuli haamini macho yake anaposhuhudia sura za kukasirika na ghadhabu za makada hao. Makada wa maelfu nchi nzima wamejipanga kuwapigia kura wapinzani kwakuwa walioletewa hawakuwachagua.

Pamoja na kutumia jukwaa la Urais kwa miaka mitano kujinadi, kujiaminisha na kujitamba mbele ya watanzania, Dr. Magufuli hayaamini macho yake anapoona watanzania hawamulewi kwenye kampeni zake na hata hawasisimuliwi na ahadi zake tena. Wamejaa uchungu mioyoni mwao; wamepoteza matumaini kuliko kuyapata. Watanzania wanataka kuanza upya. Wanataka mabadiliko. Wanashindwa kumuelewa Dr. Magufuli.

Hakika, Dr. Magufuli haamini anachokiona. Ametarajia A, anaona B. Wako wapi wale waliokuwa wakimshabikia miaka yote mitano? Wako wapi waunga mkono juhudi? Ni wazi, tafakari atakayoifanya Chato kuanzia jana hadi tarehe 14/9/2020 itajikita katika kujiuliza: amewakosea nini watanzania hadi wampe 'surprise'hii ya kiuchaguzi? Atakapoanza na Kagera, ajirekebishe na ikibidi aombe radhi kwa kuteleza kwake kwa hili na lile.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kahama, Shinyanga)
 
wewe na wenzako mmewekwa kwenye 2% ya ushindi wa 98% wa JPM

Heil JPM... Viva Magu
Me mwenyewe kura yangu kwa Lissu....haiwezekani miaka mitano yote hii sijawahi kununua nguo dukani hata jeans moja tu.maisha magumu watoto wa wenye wanasoma tu na hakuna ajira
 
praise.com

Heil Jpm ... Viva Magu
Kuna vijana wa UVCCM hapa Lumumba wakati fulani huko nyuma walijiapiza mbele ya Magufuli "Kwa makubwa uliyowafanyia Watanzania, kwenye uchaguzi wa 2020 wala huhitaji kupanda jukwaani wala kuzunguka nchi nzima kukampeni..... hiyo kazi tuachie sisi baba!"

Sasa hivi nawaona hapa kiungani Lumumba kila mtu anapambana na hali yake..... maana sumu anazomwaga Lissu kwa wapiga kura zimewaacha kama wahanga wa shoti ya umeme!
 
hatutegemei mtu alie ameibiwa kura then[emoji3]

Viva Magu
Kuna barua inaandaliwa kutoka kwa Robert Amsterdam kwenda tume ya uchaguzi, hiyo Ndo itakata matumaini kabisa,

ile walitegemea ku- rig election haitakuwepo.

Au ile ya kutotatangaza mshindi mwaka huu haitakuwapo
 
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi, Dr. Magufuli haamini kuona wananchi 'wakitamani' kumuondoa madarakani kwa kura zao Oktoba 28.

Pamoja na 'mikwara' yake kwa makada wa CCM walioachwa pembeni wakati wa kura za maoni kuwa ni LAZIMA wawaunge mkono wagombea waliopitishwa na CCM yetu, Dr. Magufuli haamini macho yake anaposhuhudia sura za kukasirika na ghadhabu za makada hao. Makada wa maelfu nchi nzima wamejipanga kuwapigia kura wapinzani kwakuwa walioletewa hawakuwachagua.

Pamoja na kutumia jukwaa la Urais kwa miaka mitano kujinadi, kujiaminisha na kujitamba mbele ya watanzania, Dr. Magufuli hayaamini macho yake anapoona watanzania hawamulewi kwenye kampeni zake na hata hawasisimuliwi na ahadi zake tena. Wamejaa uchungu mioyoni mwao; wamepoteza matumaini kuliko kuyapata. Watanzania wanataka kuanza upya. Wanataka mabadiliko. Wanashindwa kumuelewa Dr. Magufuli.

Hakika, Dr. Magufuli haamini anachokiona. Ametarajia A, anaona B. Wako wapi wale waliokuwa wakimshabikia miaka yote mitano? Wako wapi waunga mkono juhudi? Ni wazi, tafakari atakayoifanya Chato kuanzia jana hadi tarehe 14/9/2020 itajikita katika kujiuliza: amewakosea nini watanzania hadi wampe 'surprise'hii ya kiuchaguzi? Atakapoanza na Kagera, ajirekebishe na ikibidi aombe radhi kwa kuteleza kwake kwa hili na lile.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kahama, Shinyanga)
Ila mzee wewe unatupenda sana makamanda.
Asante kwa kututia moyo.
Hata hivyo Lisu kishaanza kutuandaa kusingizia tumeibiwa kura matokeo yakitoka.
Anasema tuingie barabarani baada ya matokeo.
Nadhani hapo ndo tutakapoiona A ya JPM.
Sijui na sisi tutapigwa risasi za plastiki zinazokata kona kuufuata mguu wa kulia na kuuacha wa kushoto zilikotokea?
 
Kumbe huyu mzee nae anafuatiliana kampeni kupitia time kwa kigogo
 
Na wajinga wavivu na wapenda vya bule wasiopenda kutoka jasho,wacheza pool,wakubet ndio wanompenda tobolisu.

UVCCM mwaka huu kazi mnayo. Mgombea wenu hakubaliki, na huo ndiyo ukweli. Itambidi aandae kofia nyingi sana za kuwavisha akina Diamond na Shoro Mwamba jukwaani. Hana namna!

Maana hao ndiyo wanaomsaidia kuwavuta wananchi kuhudhuria mikutano yake ya kampeni.
 
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi, Dr. Magufuli haamini kuona wananchi 'wakitamani' kumuondoa madarakani kwa kura zao Oktoba 28.

Pamoja na 'mikwara' yake kwa makada wa CCM walioachwa pembeni wakati wa kura za maoni kuwa ni LAZIMA wawaunge mkono wagombea waliopitishwa na CCM yetu, Dr. Magufuli haamini macho yake anaposhuhudia sura za kukasirika na ghadhabu za makada hao. Makada wa maelfu nchi nzima wamejipanga kuwapigia kura wapinzani kwakuwa walioletewa hawakuwachagua.

Pamoja na kutumia jukwaa la Urais kwa miaka mitano kujinadi, kujiaminisha na kujitamba mbele ya watanzania, Dr. Magufuli hayaamini macho yake anapoona watanzania hawamulewi kwenye kampeni zake na hata hawasisimuliwi na ahadi zake tena. Wamejaa uchungu mioyoni mwao; wamepoteza matumaini kuliko kuyapata. Watanzania wanataka kuanza upya. Wanataka mabadiliko. Wanashindwa kumuelewa Dr. Magufuli.

Hakika, Dr. Magufuli haamini anachokiona. Ametarajia A, anaona B. Wako wapi wale waliokuwa wakimshabikia miaka yote mitano? Wako wapi waunga mkono juhudi? Ni wazi, tafakari atakayoifanya Chato kuanzia jana hadi tarehe 14/9/2020 itajikita katika kujiuliza: amewakosea nini watanzania hadi wampe 'surprise'hii ya kiuchaguzi? Atakapoanza na Kagera, ajirekebishe na ikibidi aombe radhi kwa kuteleza kwake kwa hili na lile.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kahama, Shinyanga)
Upinzani upi?
Upinzani umeishakata roho
 
Magufuli hakubaliki anachokosea n kutoshaurika. Ni vile tume haipo huru vingnevyo mitano ingemuhusu
 
Back
Top Bottom