Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Jibu hoja! ulipeleka wapi pesa ya mafao ya kuachishwa kazi na mafunzo ya ujasilia Mali mulipewa na ulikuwa underground miner kipi kimekushinda kwenda kuchimba au kufanya biashara nyingine mpaka umlaumu magufuli na je pale buzwagi ambapo Mali imeisha utamlaumu nani?.Wewe ni 'mpuuzi' fulani ambaye unalipwa pesa kiduchu hapo Lumumba kulisha familia yako.
Pathetic!
Kweli kamanda!Hahaaaaaa............ 😁 😛
Mzee wa Chato, kila akimuwazia Tundu Lissu, mapigo ya moyo ndiyo yanaongezeka maradufu!
Umeshapanic bwashee!Ni WANAFIKI na WACHUMIA TUMBO pekee kama wewe ndiyo wanao ikubali Ccm na pia kumkubali huyo magufuli.
Na wajinga wavivu na wapenda vya bule wasiopenda kutoka jasho,wacheza pool,wakubet ndio wanompenda tobolisu.Ni WANAFIKI na WACHUMIA TUMBO pekee kama wewe ndiyo wanao ikubali Ccm na pia kumkubali huyo magufuli.
Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi, Dr. Magufuli haamini kuona wananchi 'wakitamani' kumuondoa madarakani kwa kura zao Oktoba 28.
Pamoja na 'mikwara' yake kwa makada wa CCM walioachwa pembeni wakati wa kura za maoni kuwa ni LAZIMA wawaunge mkono wagombea waliopitishwa na CCM yetu, Dr. Magufuli haamini macho yake anaposhuhudia sura za kukasirika na ghadhabu za makada hao. Makada wa maelfu nchi nzima wamejipanga kuwapigia kura wapinzani kwakuwa walioletewa hawakuwachagua.
Pamoja na kutumia jukwaa la Urais kwa miaka mitano kujinadi, kujiaminisha na kujitamba mbele ya watanzania, Dr. Magufuli hayaamini macho yake anapoona watanzania hawamulewi kwenye kampeni zake na hata hawasisimuliwi na ahadi zake tena. Wamejaa uchungu mioyoni mwao; wamepoteza matumaini kuliko kuyapata. Watanzania wanataka kuanza upya. Wanataka mabadiliko. Wanashindwa kumuelewa Dr. Magufuli.
Hakika, Dr. Magufuli haamini anachokiona. Ametarajia A, anaona B. Wako wapi wale waliokuwa wakimshabikia miaka yote mitano? Wako wapi waunga mkono juhudi? Ni wazi, tafakari atakayoifanya Chato kuanzia jana hadi tarehe 14/9/2020 itajikita katika kujiuliza: amewakosea nini watanzania hadi wampe 'surprise'hii ya kiuchaguzi? Atakapoanza na Kagera, ajirekebishe na ikibidi aombe radhi kwa kuteleza kwake kwa hili na lile.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kahama, Shinyanga)
Mkuu Ina maana Ndege JOHN nae ni nyumbu?,kwani hujamsoma hapo juu .Fahari ya nyumbu ni kufarijiana hata wakiwa mbele ya mdomo wa Simba.
Hongera chadema
Me mwenyewe kura yangu kwa Lissu....haiwezekani miaka mitano yote hii sijawahi kununua nguo dukani hata jeans moja tu.maisha magumu watoto wa wenye wanasoma tu na hakuna ajira
Kuna vijana wa UVCCM hapa Lumumba wakati fulani huko nyuma walijiapiza mbele ya Magufuli "Kwa makubwa uliyowafanyia Watanzania, kwenye uchaguzi wa 2020 wala huhitaji kupanda jukwaani wala kuzunguka nchi nzima kukampeni..... hiyo kazi tuachie sisi baba!"
Sasa hivi nawaona hapa kiungani Lumumba kila mtu anapambana na hali yake..... maana sumu anazomwaga Lissu kwa wapiga kura zimewaacha kama wahanga wa shoti ya umeme!
Kuna barua inaandaliwa kutoka kwa Robert Amsterdam kwenda tume ya uchaguzi, hiyo Ndo itakata matumaini kabisa,
ile walitegemea ku- rig election haitakuwepo.
Au ile ya kutotatangaza mshindi mwaka huu haitakuwapo
Ila mzee wewe unatupenda sana makamanda.Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi, Dr. Magufuli haamini kuona wananchi 'wakitamani' kumuondoa madarakani kwa kura zao Oktoba 28.
Pamoja na 'mikwara' yake kwa makada wa CCM walioachwa pembeni wakati wa kura za maoni kuwa ni LAZIMA wawaunge mkono wagombea waliopitishwa na CCM yetu, Dr. Magufuli haamini macho yake anaposhuhudia sura za kukasirika na ghadhabu za makada hao. Makada wa maelfu nchi nzima wamejipanga kuwapigia kura wapinzani kwakuwa walioletewa hawakuwachagua.
Pamoja na kutumia jukwaa la Urais kwa miaka mitano kujinadi, kujiaminisha na kujitamba mbele ya watanzania, Dr. Magufuli hayaamini macho yake anapoona watanzania hawamulewi kwenye kampeni zake na hata hawasisimuliwi na ahadi zake tena. Wamejaa uchungu mioyoni mwao; wamepoteza matumaini kuliko kuyapata. Watanzania wanataka kuanza upya. Wanataka mabadiliko. Wanashindwa kumuelewa Dr. Magufuli.
Hakika, Dr. Magufuli haamini anachokiona. Ametarajia A, anaona B. Wako wapi wale waliokuwa wakimshabikia miaka yote mitano? Wako wapi waunga mkono juhudi? Ni wazi, tafakari atakayoifanya Chato kuanzia jana hadi tarehe 14/9/2020 itajikita katika kujiuliza: amewakosea nini watanzania hadi wampe 'surprise'hii ya kiuchaguzi? Atakapoanza na Kagera, ajirekebishe na ikibidi aombe radhi kwa kuteleza kwake kwa hili na lile.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kahama, Shinyanga)
Na wajinga wavivu na wapenda vya bule wasiopenda kutoka jasho,wacheza pool,wakubet ndio wanompenda tobolisu.
Umeshapanic bwashee!
Hahahaaaa...... Haya bhana!Msema kweli ni mpenzi wa Mungu bwashee! Na huo ndiyo ukweli mchungu.
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....praise.com
Heil Jpm ... Viva Magu
Upinzani upi?Pamoja na kuubana vilivyo upinzani kwa miaka yake mitano madarakani, haamini kuuona ukiwa na nguvu kwa namna hii hadi kuomba msaada wa wastaafu. Pamoja na kuuaminisha umma, tangu kuingia kwake madarani, kuwa anapendwa, anakubalika, anaheshimika na anaaminika kuliko yeyote yule kwenye uongozi, Dr. Magufuli haamini kuona wananchi 'wakitamani' kumuondoa madarakani kwa kura zao Oktoba 28.
Pamoja na 'mikwara' yake kwa makada wa CCM walioachwa pembeni wakati wa kura za maoni kuwa ni LAZIMA wawaunge mkono wagombea waliopitishwa na CCM yetu, Dr. Magufuli haamini macho yake anaposhuhudia sura za kukasirika na ghadhabu za makada hao. Makada wa maelfu nchi nzima wamejipanga kuwapigia kura wapinzani kwakuwa walioletewa hawakuwachagua.
Pamoja na kutumia jukwaa la Urais kwa miaka mitano kujinadi, kujiaminisha na kujitamba mbele ya watanzania, Dr. Magufuli hayaamini macho yake anapoona watanzania hawamulewi kwenye kampeni zake na hata hawasisimuliwi na ahadi zake tena. Wamejaa uchungu mioyoni mwao; wamepoteza matumaini kuliko kuyapata. Watanzania wanataka kuanza upya. Wanataka mabadiliko. Wanashindwa kumuelewa Dr. Magufuli.
Hakika, Dr. Magufuli haamini anachokiona. Ametarajia A, anaona B. Wako wapi wale waliokuwa wakimshabikia miaka yote mitano? Wako wapi waunga mkono juhudi? Ni wazi, tafakari atakayoifanya Chato kuanzia jana hadi tarehe 14/9/2020 itajikita katika kujiuliza: amewakosea nini watanzania hadi wampe 'surprise'hii ya kiuchaguzi? Atakapoanza na Kagera, ajirekebishe na ikibidi aombe radhi kwa kuteleza kwake kwa hili na lile.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kahama, Shinyanga)
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....
Ni vzr kuota ndoto laknMwambie akuchukue Chato mkavute bangi pamoja , October Mvuta bangi anastaafishwa