Uchaguzi 2020 Hakika Dkt. Magufuli haamini macho yake. Alifikiri A, imekuwa B!

Kwani mlipomchagua Magufuli aliwaahidi atawaRetea tetemeko?
Nauliza tena
Mlipomchagua Magufuli aliwaahidi atawaRetea tetemeko ?

Tetemeko alikuRetwa na Serikali ya Dr Magufuli, kwa Serikari iumie halafu nyinyi wananchi msiumie.

Pipo yuzidi tu dai in ze in ze Reki
 
Mimi binafsi ccm aise siipendi tangu nipo mdogo kweli nimeamini mtu wa haki huzaliwa, na kujali watu kunatoka moyoni.
 
Amefeli wapi kwani?
Amefeli kwa kuwafanya watanzania maskini wa kutupa halafu yeye anaona sifa kuwafanya watanzania maskini ona mpuuzi wako mwingine huyu anafurahia maisha ya watanzania kuwa maskini namna
 
Wajumbe wameapa kwa kauli moja hawataki dharau. Yaani wao wameteua mtu wao na wao ndio wananchi wewe unakuja na ubabe wako?? Wajumbe watamuonesha kama walivyofanya kwenye uchaguzi wao wawagombea. Kilichotikea Kigamboni na mahala pengine kitamshangaza.
 
Mavyfuli mema 40% maovu 60%, hatufai huyu.
 
Kwaiyo Lissu ndio atakununulia Nguo?
Jitume tafuta pesa kwa Akili na jasho lako, Watu wananunua ndinga mpya kila siku wewe unafikiria Lissu atakupa nafuu ya Maisha.
Wewe bado huna elimu juu ya influence ya government policies and Laws on economics;Siku ukiwa na ufahamu wa hayo ndipo utaweza kuelewa kwa nn watu wanailalamikia serikali juu ya maisha magumu.Kiufupi ni kwamba hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayetegemea serikali impe pesa bali hutegemea serikali itunge sera bora na sheria wezeshi ambazo zitamtengenezea mazingira mazuri ya kupata hela kupitia vyanzo mbalimbali.Kwenye hili serikali ya CCM ya miaka 59 imeshindwa pabaya.
 
Ujinga mtupu wa kuipa moyo.Mbona hiyo nguvu ya upinzani haionekani hadi leo ? Zaidi ni malalamiko na matusi tu .
Acha unafiki Magufuli ambae ni rais na majariwa waziri mkuu anaiona na kuiogopa wewe kapuku wa Tandale ndio huioni??
 
Huyo Lofa In Mkapa's voice hawezi kukuelewa ametawaliwa na roho ya wivu na chuki
 
Ni kweli Magufuli kafeli kwa mengi hasa kwa ubabe wake wa kulazimisha mambo yasio haki na ukabila uliopitiliza ila hakuna ubishi atashinda urais hata ikibidi tume ya uchaguzi kumpitisha kwa kura ya veto!
 
Kwaiyo Lissu ndio atakununulia Nguo?
Jitume tafuta pesa kwa Akili na jasho lako, Watu wananunua ndinga mpya kila siku wewe unafikiria Lissu atakupa nafuu ya Maisha.
Mpumba.u wewe. Nionyeshe Mtanzania aliyenunua gari jipya kipindi hiki cha miaka mitano,nami nakupa milioni 10 taslimu.
 
Umeandika kwa uchungu mkubwa.
Huyo takataka hajui chochote.
Kuna watu wanafikiri ni utani kuna dada alikuwa anafanya biashara za saluni na kukodisha na kuuza weaving originals alikuwa na ofisi kibao, kafunga zote watu wanavaa mawigi kama yale anayoigizia joti. Biashara halali zimekufa, walipa kodi wamepungua, watu wenye maisha magumu wameongezeka halafu leo tunaambiwa ndege, ndege mie mwenyewe nina kibarua sijawahi kuwaza kupanda ndege.
 
TATIZO MAGULI NA CCM YAKE HAWANA SERA .....ILANI YA CCM SIO SERA!!!DR.ANAKWAMA WAPI????
 
Me mwenyewe kura yangu kwa Lissu....haiwezekani miaka mitano yote hii sijawahi kununua nguo dukani hata jeans moja tu.maisha magumu watoto wa wenye wanasoma tu na hakuna ajira
Na wewe kweli magufuri ana hali ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…