MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wahenga wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hapo juu ni video yenye maneno kuntu kutoka kwa huyu Dr wa mchongo.
Maneno haya ni ya hekima kubwa na yanapaswa yakae vifuani kwetu sisi wanaume, yaingizwe kwenye katiba mpya
Hatuwezi kubadili Biblia au Misahafu ila hili ndilo neno la uokovu wa wanaume kutoka kwenye utumwa wa-kike
NI CHUNGU KUMEZA, LAKINI NDIYO DAWA