Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

🤣🤣 baada ya kupigwa na tukio ndo anakumbuka shuka kumekucha!
Alijikuta ye ndo kaipatia ndoa kuliko wote🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,at last now atapunguza kelele mana instagram adi comments ameturn off jinsi gani mambo yamemwendea mrama🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndiyo uanaume
 
View attachment 2513245

Wahenga wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hapo juu ni video yenye maneno kuntu kutoka kwa huyu Dr wa mchongo.

Maneno haya ni ya hekima kubwa na yanapaswa yakae vifuani kwetu sisi wanaume, yaingizwe kwenye katiba mpya

Hatuwezi kubadili Biblia au Misahafu ila hili ndilo neno la uokovu wa wanaume kutoka kwenye utumwa wa-kike

NI CHUNGU KUMEZA, LAKINI NDIYO DAWA
Aiseee
Sijakomenti kitu aisee
 
Huyo mwanaume anayeridhika anapatikana Dunia gani? Mkumbuke mwanamke ni zao la mwanaume, ametolewa ubavuni mwenu......kutwa mnajisifia wanaume hamridhiki, kama mwanamke ametokana na nyinyi....hence X=Y

Ukweli hakuna kiumbe anayeridhika, ila tu jamii ya kale ilifanikiwa kumdhibiti mwanamke na kumfanya aishi kwenye misingi iliyowekwa, ndo ikaonekana mwanamke anaweza kuridhika wakati mwanaume hawezi, hiki kizazi cha usawa ndo mambo yanakorogeka🤣🤣🤣
 
Kwani Dr mwaka anasemaje?
 
Kabisaaa Mimi huwa nawashangaa wanavyojipa haki yakutoridhika.ila ukikuta mwanaume anayejitambua hawezi kujisifia ujinga kama huo.
 
Mnao lialia ni nyie kisha utaka nani awaelewe? Mtapigwa matukio mpaka mjue hakuna mwanamke anayetaka mwanaume asiye ridhika.
🤣🤣🤣🤣 Wataelewa tu mwaka huu, wanavyotaka na sisi tunataka.

Wakati wao wanataka mwanamke mwenye tako, msomi, mwenye adabu, mweupe, mwenye K ya moto, mchamungu, nyonyo lisilale hata akinyonyesha.....na akikosa kimojawapo wanachepuka huku wakijifariji men are polygamist in nature🤣🤣
Sie pia tunataka mwanaume mrefu, mweusi, msikivu, mwenye six packs(asiote kitambi Hadi uzeeni), mwenye Hela, awe na muda na sisi, pia akitupa mimba tuzae vitoto vizuri shombe shombe flani hivi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanaume wa kibongo wajingawajinga sana
 
Back
Top Bottom