Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

Rudi darasani tena. Dr. Mwaka yupo sahihi mnoo.
 
Hapo Sasa sijui muulize Kwa upole
Vunja ukimya, humpendi kabisa Dr Mwaka kwani jee?

Hapa kuna mawili tu, Mimi nikiwa ni PhD holder kuna kila ushahidi kama tabibu Mwaka hajakupiga pesa Kwa matibabu fake basi ulimpa Tunda akalichakata akaenda nje ya promise zake kwako.

Najuwa hapo utañiona kama mchawi nimejuwaje lakini huo ndio ukweli wenyewe, hii PhD sikuipata hivihivi ili nibaki kama nilivyokuwa.
 
Huyo anishike hata vidole seriously aih hapana aisee . Nimtu muongo muongo
 
Leo ndo kajua haya. Si alikua anatamba kuwaelewa na kuwawezea mpaka kumiliki watatu
Biashara si unajua nae alikuwa anauza za kuboost tendo la ndoa so ilikuwa lazima avutie kwake tumuone yupo fiti kumbe ndani hali yake hovyo.
 
Biashara si unajua nae alikuwa anauza za kuboost tendo la ndoa so ilikuwa lazima avutie kwake tumuone yupo fiti kumbe ndani hali yake hovyo.
Halafu usikute hata hizo ndoa zilikuwa za mchongo ili awaoneshe makolo wake kwamba yupo fiti awe role model wao aendelee kuwalaghuwa booster, wakati booster ni mazoezi tu na vyakula.
 
Mwaka kaongea vizuri huu ujumbe utaishi vizazi na vizazi na hadi milele. Mwanamke hatosheki kwa chochote.
 
Kubali point yake ila na wewe hio ndio mtazamo wako, huu ujumbe wa Dr Mwaka ni reference ya bustani ya Eden hakuna reference bora kama hio, sema Mwaka hajapenda kuiweka katika namna inayokera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…