Wale sio kama sisi.Tume yao ipo huru.Tume inatakiwa iwe makini.Kukiwa na longo longo lolote mgombania yupo huru kufungua kesi ya kupinga matokeo.Na mahakama ilishawahi kuyafutilia mbali matokeo ya urais Kenya.Zote porojo ndugu,matokeo yalitakiwa yawe tayari
Huo siyo Uhuru Bali ni uchu tu wa wagombea,deep state inataka lake na upinzani anataka lake,huu uchaguzi vurugu lazimaWale sio kama sisi.Tume yao ipo huru.Tume inatakiwa iwe makini.Kukiwa na longo longo lolote mgombania yupo huru kufungua kesi ya kupinga matokeo.Na mahakama ilishawahi kuyafutilia mbali matokeo ya urais Kenya.
Angalau hakuna kupita bila kupingwa.Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki.
Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika uchaguzi huo kwa kweli sijaona hicho kinachodiwa kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Sioni kama kuna la kujifunza kutoka katika uchaguzi huo kwa sababu zifuatazo:-
#13/08/2022 Daniel Musyoka Msimamizi wa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi (IEBC) aliripotiwa kutoweka na mpaka sasa haijulikani alipo.
#13/08/2022 iliripotiwa kuhusu uwepo wa dalili za wizi wa kura katika baadhi ya maeneo ambayo inadaiwa William Ruto amepata kura nyingi ambapo ilielezwa kuwa kura katika vifaa vya KIEMS hazilingani na idadi iliyopo katika Makaratasi.
#12/08/2022 iliripotiwa kuwa Maafisa wa Tume wameitisha Kikao cha Dharura baada ya sintofahamu kutokea katika Ukumbi wa kuhakiki kura za Urais, baada ya Kompyuta kuingizwa ukumbini kinyume na Taratibu.
#12/08/2022 iliripotiwa kuhusu msimamizi wa uchaguzi kukutwa na karatasi za kupigia kura katika kituo cha kuhesabia kura cha Jamhuri katika Jimbo la starehe.
#10/08/2022 iliripotiwa kuwa Polisi wawili na Raia mmoja walikutwa na karatasi za kupigia kura zenye tiki. Pia, Miongoni mwa vifaa vingine vilivyokutwa nao ni sahihi moja ya wapiga kura, Madaftari 2 ya matokeo ya Uchaguzi, pakiti mbili za karatasi za kupigia kura za Urais.
# Kubwa zaidi na la kusikitisha ni kwamba mpaka sasa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) haijatangaza matokeo ya kura za Urais pasipo sababu za msingi huku siku zikizidi kwenda hii inatilia mashaka juu ya matokeo yatakayotangazwa kama yatakuwa na uhalisia.
Katika mazingira haya, kweli watanzania wenye akili timamu wanawezaje kuishauri serikali iige kinachotokea Kenya? Ni kweli kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wataweza kusubiri wiki nzima bila kujua aliyeshinda?.
Kitendo cha Vyombo vya habari kutangaza matokeo kiliwafanya wanaharakati pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani kuamini kuwa kufanya hivyo ndio uhuru na haki, tujiulize hiyo haki sasa iko wapi? Hivi hamuoni kuwa mlijichanganya kuwahi kuongea bila kufukiria mwisho wa mnachokisema utakuwa nini? Kutofikiria kwenu kumewafanya mkose la kuongea baada ya hali inayoendelea kujitokeza.
Hii ni ishara ya ukosefu wenu wa uweledi katika mambo makubwa yanayohusu uongozi wa nchi.
Majizi na walamba asali kila nchi yapo.Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki.
Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika uchaguzi huo kwa kweli sijaona hicho kinachodiwa kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Sioni kama kuna la kujifunza kutoka katika uchaguzi huo kwa sababu zifuatazo:-
#13/08/2022 Daniel Musyoka Msimamizi wa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi (IEBC) aliripotiwa kutoweka na mpaka sasa haijulikani alipo.
#13/08/2022 iliripotiwa kuhusu uwepo wa dalili za wizi wa kura katika baadhi ya maeneo ambayo inadaiwa William Ruto amepata kura nyingi ambapo ilielezwa kuwa kura katika vifaa vya KIEMS hazilingani na idadi iliyopo katika Makaratasi.
#12/08/2022 iliripotiwa kuwa Maafisa wa Tume wameitisha Kikao cha Dharura baada ya sintofahamu kutokea katika Ukumbi wa kuhakiki kura za Urais, baada ya Kompyuta kuingizwa ukumbini kinyume na Taratibu.
#12/08/2022 iliripotiwa kuhusu msimamizi wa uchaguzi kukutwa na karatasi za kupigia kura katika kituo cha kuhesabia kura cha Jamhuri katika Jimbo la starehe.
#10/08/2022 iliripotiwa kuwa Polisi wawili na Raia mmoja walikutwa na karatasi za kupigia kura zenye tiki. Pia, Miongoni mwa vifaa vingine vilivyokutwa nao ni sahihi moja ya wapiga kura, Madaftari 2 ya matokeo ya Uchaguzi, pakiti mbili za karatasi za kupigia kura za Urais.
# Kubwa zaidi na la kusikitisha ni kwamba mpaka sasa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) haijatangaza matokeo ya kura za Urais pasipo sababu za msingi huku siku zikizidi kwenda hii inatilia mashaka juu ya matokeo yatakayotangazwa kama yatakuwa na uhalisia.
Katika mazingira haya, kweli watanzania wenye akili timamu wanawezaje kuishauri serikali iige kinachotokea Kenya? Ni kweli kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wataweza kusubiri wiki nzima bila kujua aliyeshinda?.
Kitendo cha Vyombo vya habari kutangaza matokeo kiliwafanya wanaharakati pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani kuamini kuwa kufanya hivyo ndio uhuru na haki, tujiulize hiyo haki sasa iko wapi? Hivi hamuoni kuwa mlijichanganya kuwahi kuongea bila kufukiria mwisho wa mnachokisema utakuwa nini? Kutofikiria kwenu kumewafanya mkose la kuongea baada ya hali inayoendelea kujitokeza.
Hii ni ishara ya ukosefu wenu wa uweledi katika mambo makubwa yanayohusu uongozi wa nchi.
Uchaguzi wa kenya sio wa ki kabila ila siasa za Kenya ndio una u kabila.... Bila kuficha kenya wametuzidi kwene swala la democrasia ya uchaguziYaani Tukajifunze Uchaguzi wa Kikabila
Utakuwa Upuuzi ulio pindukia
Demokrasia siyo kitu rahisi, ingekuwa rahisi Hillary Clinton angekuwa Rais wa MarekaniHayo ni mapungufu kidogo sana tofauti na Tanzania ambapo mapungufu ni mengi sana
[emoji2]Uchaguzi wa kenya sio wa ki kabila ila siasa za Kenya ndio una u kabila.... Bila kuficha kenya wametuzidi kwene swala la democrasia ya uchaguzi
Ngumi zimeanza huko 😜😜😜😜Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki.
Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika uchaguzi huo kwa kweli sijaona hicho kinachodiwa kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Sioni kama kuna la kujifunza kutoka katika uchaguzi huo kwa sababu zifuatazo:-
#13/08/2022 Daniel Musyoka Msimamizi wa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi (IEBC) aliripotiwa kutoweka na mpaka sasa haijulikani alipo.
#13/08/2022 iliripotiwa kuhusu uwepo wa dalili za wizi wa kura katika baadhi ya maeneo ambayo inadaiwa William Ruto amepata kura nyingi ambapo ilielezwa kuwa kura katika vifaa vya KIEMS hazilingani na idadi iliyopo katika Makaratasi.
#12/08/2022 iliripotiwa kuwa Maafisa wa Tume wameitisha Kikao cha Dharura baada ya sintofahamu kutokea katika Ukumbi wa kuhakiki kura za Urais, baada ya Kompyuta kuingizwa ukumbini kinyume na Taratibu.
#12/08/2022 iliripotiwa kuhusu msimamizi wa uchaguzi kukutwa na karatasi za kupigia kura katika kituo cha kuhesabia kura cha Jamhuri katika Jimbo la starehe.
#10/08/2022 iliripotiwa kuwa Polisi wawili na Raia mmoja walikutwa na karatasi za kupigia kura zenye tiki. Pia, Miongoni mwa vifaa vingine vilivyokutwa nao ni sahihi moja ya wapiga kura, Madaftari 2 ya matokeo ya Uchaguzi, pakiti mbili za karatasi za kupigia kura za Urais.
# Kubwa zaidi na la kusikitisha ni kwamba mpaka sasa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) haijatangaza matokeo ya kura za Urais pasipo sababu za msingi huku siku zikizidi kwenda hii inatilia mashaka juu ya matokeo yatakayotangazwa kama yatakuwa na uhalisia.
Katika mazingira haya, kweli watanzania wenye akili timamu wanawezaje kuishauri serikali iige kinachotokea Kenya? Ni kweli kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wataweza kusubiri wiki nzima bila kujua aliyeshinda?.
Kitendo cha Vyombo vya habari kutangaza matokeo kiliwafanya wanaharakati pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani kuamini kuwa kufanya hivyo ndio uhuru na haki, tujiulize hiyo haki sasa iko wapi? Hivi hamuoni kuwa mlijichanganya kuwahi kuongea bila kufukiria mwisho wa mnachokisema utakuwa nini? Kutofikiria kwenu kumewafanya mkose la kuongea baada ya hali inayoendelea kujitokeza.
Hii ni ishara ya ukosefu wenu wa uweledi katika mambo makubwa yanayohusu uongozi wa nchi.
Sidhani kama kutakuwa na jipya iwapo katiba ni ile ile na NEC bado ipo chini ya MahelaYa kujifunza yapo. Tunapojifunza kuns kuboresha, kukwepa ama kurudia yale yale.
Uchaguzi ni mchakato wenye hatua zake.
Sitaki kuamini kuwa hatuna cha kujifunza kwenye hatua zote za uchaguzi wa Kenya kuanzia upatikanaji wa wagombea, kampeni hadi sasa.
Mwisho uchaguzi wa kidemocrasia una vimbwanga vyake hata ka ungekuwa ni wa UK, US au China au Vatican.
Tukubali kujifunza kitu! Sisi tuna muda hadi 2025!
Angalia ukomavu hapo kwa Sakaja na Igathe - Tanzania huwezi kupata picha za midahalo na mapokeo mazuri ya matokeo kwa sababu hakuna uchaguzi!
View attachment 2323788View attachment 2323789
Naona labda unajaribu kuwa mchekeshaji.Yaani Tukajifunze Uchaguzi wa Kikabila
Utakuwa Upuuzi ulio pindukia
Katiba mpya ndio itawakomboa kifikra wahitimu chuo cha Humprey PolepoleUsishindane na dola yoyote kwenye masuala ya uchaguzi, matokeo yake huwa yanajulikana ukifanya nao ushindani wa aina yoyote ile. Watakachokuambia kazi yako ni kutii tu bila shuruti.
Huko ni kujifariji tu, Kenya walidhibiti wahuni kama hao kwa kuweka uwazi.Hata huko ni hvyo Kuna watu wamekutwa na masanduku yakiwa na kura feki
Palikuwa na uwazi na umakini ili kupata mshindi wa kweli/haki. Sio huku ambako matokeo yanapangwa bila hata kuhesabu kura. Ndio kazi ya wateule.Maana yake mfumo huo ni geresha tu ndiyo maana matokeo mpaka sasa hakuna
Fuatilia,wameibiana Kura kinoma,huo uwazi ni maigizo ya uchaguzi huru,haki na waziPalikuwa na uwazi na umakini ili kupata mshindi wa kweli/haki. Sio huku ambako matokeo yanapangwa bila hata kuhesabu kura. Ndio kazi ya wateule.
Uwazi unawezesha ufuatiliaji wa kila anaetaka kujiridhisha. Hapa kwetu kufuatilia ni makosa makubwa. Kila kitu ni siri ya ma DED/wateuleIEBC haijawahi endesha uchaguzi huru na haita tokea, haiwezekani watu waliopiga kura wawe wengi zaidi ya walio jiandikisha hiyo sio error ni mistake, afisa wa IEBC kupotea sio mapungufu hayo ni udhaifu, hata media ambazo tunaambiwa zilikuwa huru zikifanya hivyo Kwa sababu ni corrupted, corrupted media ambazo kila media alikuwa na matokeo yake ya Urais iliko chukua pesa, wewe kama ni mfuasi wa A tazama matokeo Tv fulani , Kwa ufupi Media wangeliingiza Taifa la Kenya pabaya, Kwa sababu Leo hii ikimwambia mwananchi kuwa A Kashindwa ana kuambia haiwezekani sisi tulikuwa tuna ongoza Citizens or NTV, sasa nani atakubali kushindwa Kwa mfumo huo?
Kwa hiyo hata media zilikuwa Zina hamasisha wizi wa kura ilimradi mtu wangu aonekana mshindi.
Sasa hapo tuna jifunza nini? , Labda Kwa upinzani Kuna SoMo la kujifunza kama Kenya kuwa na mipango kamili ya kuiba kura, hili litasaidia sana kuitoa CCM madarakani, wenzenu hawalali hadi wana hack system, so wako well planned.