Ya kujifunza yapo. Tunapojifunza kuns kuboresha, kukwepa ama kurudia yale yale.
Uchaguzi ni mchakato wenye hatua zake.
Sitaki kuamini kuwa hatuna cha kujifunza kwenye hatua zote za uchaguzi wa Kenya kuanzia upatikanaji wa wagombea, kampeni hadi sasa.
Mwisho uchaguzi wa kidemocrasia una vimbwanga vyake hata ka ungekuwa ni wa UK, US au China au Vatican.
Tukubali kujifunza kitu! Sisi tuna muda hadi 2025!
Angalia ukomavu hapo kwa Sakaja na Igathe - Tanzania huwezi kupata picha za midahalo na mapokeo mazuri ya matokeo kwa sababu hakuna uchaguzi!
View attachment 2323788View attachment 2323789